Mwanzilishi anazaliwa kule, sema NCCR TLP, CCM wamerudi NCCR sasa watarudi CCMKweli, kule CDM hawana upepo mzuri kabisa. Sijui wanakwama wapi..sema watu wa kule ni very selective. Hawaingiliki kwa maneno maneno na harakati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzilishi anazaliwa kule, sema NCCR TLP, CCM wamerudi NCCR sasa watarudi CCMKweli, kule CDM hawana upepo mzuri kabisa. Sijui wanakwama wapi..sema watu wa kule ni very selective. Hawaingiliki kwa maneno maneno na harakati.
Chadema wasije kujidanganya na kambi ya Kaskazini. Lema mwenyewe anapumulia mashine.. Pale Moshi mjini tayari kwa mara ya kwanza tangia uchaguzi wa vyama vingi Jimbo litaenda CCM.. Moshi vijijini, Vunjo, Rombo, Siha ni sure bet kwa CCM. Upareni wao miaka yote ni CCM damudamuWale wazee hawakubeba yale masale bure bhana. Lazima wamfurahishe mkuu kwa kuifanya KLM kuwa ya kijani.
Chadema wasije kujidanganya na kambi ya Kaskazini. Lema mwenyewe anapumulia mashine.. Pale Moshi mjini tayari kwa mara ya kwanza tangia uchaguzi wa vyama vingi Jimbo litaenda CCM.. Moshi vijijini, Vunjo, Rombo, Siha ni sure bet kwa CCM. Upareni wao miaka yote ni CCM damudamu
Wewe mbumbumbu hujui chochote , sitapateza mudaYani Lucy Owenya amshinde Kimei? Hahaha nani anamjua kwanza huyo Lucy huko Vunjo?
Mwanzilishi anazaliwa kule, sema NCCR TLP, CCM wamerudi NCCR sasa watarudi CCM
Aiseee mbumbumbu ni wewe.. Huyo Lucy nani anamjua?? Acha masihara wewe..Wewe mbumbumbu hujui chochote , sitapateza muda
Nakuandaa kisaikolojia ; Magufuli mwisho wake ni miaka mitano 5 tu , inauma sana lakini huu ujio wa Lissu umehitimisha kikatiri sana urais wa Magufuli .Mkuu wachaga tumeamua na sisi tusiishie kusindikiza miaka yote 10 ya Magufuli..
Kwa heshima tu, kanda ya Kaskazini atarudi Mbowe pekeake. Asante!!
Wewe mbumbumbu hujui chochote , sitapateza muda
Teh teh teh miaka yangu yote sijawahi kuipigia CCM kura..Nakuandaa kisaikolojia ; Magufuli mwisho wake ni miaka mitano 5 tu , inauma sana lakini huu ujio wa Lissu umehitimisha kikatiri sana urais wa Magufuli .
Kama akipata ubunge basi anaweza akawa waziri wa fedha...
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Updates...
Mambo Tayari Dkt. Kimei Ashachukua Fomu.View attachment 1502594
View attachment 1506539
uko nyuma sana , mara kadhaa nimewaambia wenzio humu kwamba kuiteketeza ccm nchi nzima kunahitaji siasa za jukwaani za siku 7 tu , nadhani umejionea mwenyewe .Mkuu upepo unavyo vuma huku ni vizuri ujionee mwenyewe. Moto wa Chadema imeshuka sana. Huku ni jimbo moja tuu mpaka sasa hivi hatujui hali halisi itakavyo kuwa October 29, tutazungumza vizuri. Wachaga wameamua kujiunga meza kuu.
Lyatonga Mrema atarudi kweli bungeni?Aiseee mbumbumbu ni wewe.. Huyo Lucy nani anamjua?? Acha masihara wewe..
Kwanza huyo alitakiwa akagombee kwa mkwewe Moshi Mjini au asili yao Moshi Vijijini
We akili huna kabisa. We huoni hilo jimbo mwenye nalo kalikimbia anagombea Ukonga?? Anajua ambacho angekipata
Hata octoba ya 2015 Magufuli hakushinda , Kikwete , Kinana , January na Lubuva wanajua , lakini Lissu siyo Lowassa , ukitaka matokeo kamili njoo PMTeh teh teh miaka yangu yote sijawahi kuipigia CCM kura..
Kama hizo ndio ndoto zako, basi tukutane October 😂😂
😂😂😂😂😂 Parole panamtosha huyo..Lyatonga Mrema atarudi kweli bungeni?
Tofautisha 2015 na 2020 mkuu.. 2015 EL alishinda na Maalim pia..Hata octoba ya 2015 Magufuli hakushinda , Kikwete , Kinana , January na Lubuva wanajua , lakini Lissu siyo Lowassa , ukitaka matokeo kamili njoo PM
ukilewa usiingie jf , hivi kimei ameisaidia nini vunjo , ukiacha crdb kuwa benki iliyogharamia manunuzi ya wasaliti ? unamfahamu kimei kweli wewe ?Hasira zako za kuporwa jimbo hazijapoa tu mama? Lugha zilizokosa stara za nini sasa?
Tofautisha 2015 na 2020 mkuu.. 2015 EL alishinda na Maalim pia..
Lakini mwaka huu mwamko sio ule, wengi hawatapiga kura sababu ya discoragement ya chaguzi ndogo zilizofanyika pamoja na ule wa serikali za mitaa..
Angalieni tu Mbowe asiwe nae ni Afisa Kipenyo 😂😂
Hawezi mtoa mpango pale.. kumbuka jamaa hamuamini mchaga kwenye pesa.Duuh, Waziri wa fedha mtarajiwa, kila la kheir
nakushukuru kwa kuelewa kwamba Lowassa alishinda kwa zaidi ya kura mil 10 na aliyepata mil 3 unusu ndio akatangazwa , lakini elewa kwamba wengi watapiga kura kwa Lissu na hasa baada ya kufichua kwamba hatakubali kuibiwaTofautisha 2015 na 2020 mkuu.. 2015 EL alishinda na Maalim pia..
Lakini mwaka huu mwamko sio ule, wengi hawatapiga kura sababu ya discoragement ya chaguzi ndogo zilizofanyika pamoja na ule wa serikali za mitaa..
Angalieni tu Mbowe asiwe nae ni Afisa Kipenyo 😂😂
ukilewa usiingie jf , hivi kimei ameisaidia nini vunjo , ukiacha crdb kuwa benki iliyogharamia manunuzi ya wasaliti ? unamfahamu kimei kweli wewe ?