Kazi ile kwa kiasi kikubwa ilifanywa na wadenishi hadi walipoachia hisa zao miaka ya 2010. Unapomsifia hivyo kumbuka kulikuwa na ngozi nyeupe nyuma yake na walikuwa na karibu theluthi moja ya hisa na ndio waliiokoa miaka ya 1996 isiingie kaburini bila jeneza. Kiufupi ni mchapa kazi sanaNi haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
Hahahaaa Masue Dereva Mkongwe yule hiace Mwika - Moshi anakimbiza.Nilitoka hapo majuzi palikuwa shwar leo ntakuwa safarini kusoge hapo mkuu..
Jina lako linanikumbusha jamaa mmoja anaitwa Masue dereva hiace anasifika sana kwa spidi na muda..
Hapo hausemi ukweli mkuu, kasome vizuri kilichotokea miaka hiyo na uone mgawanyo wa hisa ulivyokuwa na ujue ni kina nani walioiokoa benki hiyo na leo tunawaita mabeberu. Pia ujue Dr. Kimei alitokea taasisi gani kwenda kuiendesha CRDB. Kiufupi kuna mapungufu yalitokea lakini pia kuna mengi mazuri sana yaliyofanyika wakati wa kipindi chake akishirikiana na waliosaidia kuiokoka benki hiyo pamoja na wanahisa wengine. Kasome tena tafadhali mkuu.Pia ndie alieipora toka mikononi mwa serikali pindi inaitwa benki ya wakulima akagawana hisa zote 100 na wachaga wenzake. Pia ndie aliefanya asilimia 85 ya wafanyakazi wa crdb wakawa wachaga tu. Mbatia simpendi ila Kimei kwa vile ni ccm ndo kabisaaa
Ndiye mkuu..?Nilitoka hapo majuzi palikuwa shwar leo ntakuwa safarini kusoge hapo mkuu..
Jina lako linanikumbusha jamaa mmoja anaitwa Masue dereva hiace anasifika sana kwa spidi na muda..
Umeona?Namhusudu sana Mbatia ni basi tu. Ila Kimei alistahili kupewa ubunge viti maalum na kuwa waziri wa fedha kitambo sana.
Tena?!Magufuli ampe Kimei/Mchaga uwaziri wa fedha ?Unaota wewe. Ungejua jinsi Dotto anamvyomcontrol waziri wa fedha aliepo wala usingetamani Kimei kuwa waziri wa fedha. Kimei analenga uwaziri ila ni asilimia ndogo sana Kimei kupata uwaziri kwenye serikali ya Magufuli.
Si mpaka apewe?kikwete si alimbeba tuu kwa mgongo wa mrema?tena kama sio mrema mbatia asingejulikanaheri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana arudi kwenye viti maalumu na kina mama wenzie
Ndio maana naitwa mama tanzaniaKweli kabisa Mkuu Mbatia hafai yule kigeugeu.
Yaani Mbatia wa sasa, hana tofauti yoyote na mzee Cheyo. Arudi tu kwa mama Tanzania anyonyeshwe, na asubiri uteuzi wa viti vyao. Kimei yuko vizuri.Kweli kabisa Mkuu Mbatia hafai yule kigeugeu.
Magufuli ampe Kimei/Mchaga uwaziri wa fedha ?Unaota wewe. Ungejua jinsi Dotto anamvyomcontrol waziri wa fedha aliepo wala usingetamani Kimei kuwa waziri wa fedha. Kimei analenga uwaziri ila ni asilimia ndogo sana Kimei kupata uwaziri kwenye serikali ya Magufuli.
Nani alikuambia hela inatosha wewe ?Hata Jeff wa Amazon anaona pesa haitoshi. Ukiona pesa inatosha jua wewe hauna malengo. Mafanikio ya kipesa hayana limit.Hata huo uwaziri akimbili hela
Fedha anayoingiza huko kwenye kokoto inamtosha kabisa.....
Tunataka watu kama Hawa kwenye uongozi syo wale wanaochangisha watu Hela ili wapate cheo
Ova
Basi alitoa ushikirikiano vizuri .Mimi waswahili ninaowakubali kwa uwezo wao mkubwa wa kuendesha mashirika kwa ufanisi na kuzalisha faida Ni watatu Reginald Mengi,Dr kimei na Dr Idris Rashid yule aliishika Tanesco kipindi fulaniKazi ile kwa kiasi kikubwa ilifanywa na wadenishi hadi walipoachia hisa zao miaka ya 2010. Unapomsifia hivyo kumbuka kulikuwa na ngozi nyeupe nyuma yake na walikuwa na karibu theluthi moja ya hisa na ndio waliiokoa miaka ya 1996 isiingie kaburini bila jeneza. Kiufupi ni mchapa kazi sana
wewe jamaa acha kudhalilisha kabila la watu,wachagga walikuibia nini mpaka uwaite wapigaji...? Jinga sana!Huyu mambo ya fedha ataweza vema, ila upigaji kutokana na asili yake ya kichaga adhibitiwe.
Mtu Kama Yuko vizuri hawezi kosa wa kumsifia kila Kona.Alivyoshika CRDB aliitendea haki local banks za wazawa zilikuwa zikionekana haziwezi compete sokoni Ni za kufa akabadili huo mwelekeo as a CEO .Sasa hivi we are proud of CRDB a local strong bankKimei amepata bahati,anasapotiwa mpaka na mules!
Sio bahati bni performance !!! Inayokubalika kila Kona ya nchi . Matawi strong ya CRDB yako nchi nzima yakitoa quality service pia ndio bank ya Kwanza local toka tupate uhuru iliyofungua Matawi nje ya Tanzania kipindi chake .Dr Kimei lazima asapotiwe performance inambeba mwenye macho haambiwi tazama hahitaji bahati Wala ngekewaKimei amepata bahati,anasapotiwa mpaka na mules!
Yupo brother mmoja sasa marehemu,alisoma naye Kilimanjaro Boys pale Rombo early 1984/86 anasema huyu jamaa bwenini alikuwa chakula ya wahuni,akiongea kama mtekelezaji ila hamna kitu bure kabisa na sijui kwanini anabebwa bebwa sana.Mbatia amelinyea jimbo. Aende zake. Hata upinzani haeleweki. Akapewe ubunge wa viti maalumu vya kina mama. Ana uzoefu navyo, alishaingia mjengoni kwa upendeleo wa Rais. Dume zima!!!!!