Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Nina wasiwasi uhusiano wake na jiwe ...msuguano mkali sana alipokuwa analazimisha kuchota pesa za crdb pia kuzinyakua $300m toka Denmark ...2016/17 ikabidi waziri Aje toka Denmark...kumpa za USO jiwe ! Hope alielewa kuwa hela crdb sio za kuchota chota .....asubiri dividend
 
Hatimae ile ndoto ya MAGU kufanya kazi na KIMEI inaenda kutimia siku sio nyingi, maana alimsifia sana kwa kazi nzuri siku ya kustaafu utumishi wa umma.

Mbatia asubilie tu nafasi ya upendeleo saiv hana chake apo,
 
Naunga mkono hoja,
Kuna kitu nilimwambia Mbatia.
Huyu ndiye MOF wa awamu ijayo.
Bye bye Mbatia!
P.
 
Uchambuzi wako uko so objective. Akili kubwa
 
Duuh, Waziri wa fedha mtarajiwa, kila la kheir
Magu hawezi kumpa mchaga eneo lolote lenye fedha.

Unafikiri kwanini Dr. Mpango kadumu hiyo wizara na Magu miaka 5? Mzee huyu wa Kiha ni Mbishi na baili kwenye pesa Magu haoni ndani.
Muulize Bashite alivyoleta makontena yake ya madili akajitutumua akidhani mzee Baba angeuruma Mpango aingie mstari.
Magu hawezi mtoa Mpango pale, hata akikosa ubunge huko Kigoma, Magu atampa tena ubunge wa kuchaguliwa.
 
Kama Ni Kweli Hii Sasa Hivi Ni Aibu Kubwa
Yaani Hajaridhika Mpaka Afie Kwenye System
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£
Ccm Hoyee Ccm Hoyee
Chama Dola
 
Humjui Mpango Wewe

Uliza waliokuwa nae Tume ya Mipango na Wizara ya fedha enzi za Mkwere ndio utajua Upepo unafuata uelekeo wa maji au maji yanafuata uelekeo wa upepo baharini
 
Mpango hawezi kosa ubunge
 
Humjui Mpango Wewe

Uliza waliokuwa nae Tume ya Mipango na Wizara ya fedha enzi za Mkwere ndio utajua Upepo unafuata uelekeo wa maji au maji yanafuata uelekeo wa upepo baharini
Hiyo ofisi hapewi mchaga hata wakimroga Magu.

Magu anakwambia, hapendwi mtu, inapendwa pesa kwake. Magu amefanya kazi kubwa sana kuwatoa wachaga Hazina na TRA hawezi fanya ujinga huo. Kimei amejaza wachaga kila tawi la CRDB, Magu hawezi ruhusu warudi sehemu nyeti za pesa ya nchi hii akiwa madarakani.
 
Kimei ndio Karata pekee ya CCM inayoweza kushinda Vunjo, hapo pekee ndio wanaweza kulikomboa jimbo.
 
Wa KV (kirua vunjo)πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…