LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Watoto wa siku hizi? hawawezi kufikiri? Bro tech imefanya mtoto wa mwaka anafanya mambo ya mtoto wa miaka 3, viko vitoto vidogo miaka 5 vinachokonoa simu wewe baba mzima hujui. Tuseme ni kweli, kabla ya watoto kupiga kura lini wapinzani walishinda hata serikali za mitaa. Na kama hoja yako ni kweli kwanini wapinzani wasichukue nafasi hiyo kuwashawishi hawa watoto wapigie upinzani? maana CCM maarufu wana makada wao wamekunywa kabisa maji ya kijani, huoni hii nafasi ya kuwashika damu changa.
 
Kitima ana laana ya uzao alioacha mwanza
Nakubali kwani hata mm miaka 18 ilitimia wakt nipo shule na tukatolewa class tukaenda kujiandikisha cause shulen ndio voter register ndio zilipojuwepo shuleni petu sasa hapo kipi tulioharubika
 
Huyu hana hoja anbwabwaja tu huko kanisani waxungu wanapigana vita hana ruzuku na serikali inamdengulia wacha atokwe povu
 
Mbona hujibu kile ninachokuuliza??

Na kama hoja yako ni kweli kwanini wapinzani wasichukue nafasi hiyo kuwashawishi hawa watoto wapigie upinzani?
Tatizo wewe unalazimisha ujinga uendelee kudumu kwenye Taifa, watu wenye akili hawawezi kuruhusu kitu kama hiki kifanyike, watoto wadogo wapige kura ili iweje wakati watu wazima wapo wa kutosha!!!

Watoto wa siku hizi? hawawezi kufikiri? Bro tech imefanya mtoto wa mwaka anafanya mambo ya mtoto wa miaka 3, viko vitoto vidogo miaka 5 vinachokonoa simu wewe baba mzima hujui.
Hoja yako Haina msingi, Ndo maana nilikuuliza hapo mwazo "kuwa katiba ya CCM ndo ipo hivyo kama unavyo zungumza hapa??

Tuseme ni kweli, kabla ya watoto kupiga kura lini wapinzani walishinda hata serikali za mitaa.
1. Wewe ni mzanzibar au mtanganyika??, kila kona watu wanalalamika kuwa kuna majina feki yanaongezwa kwenye daftari la wapiga kura, taarifa ya habari huwa huangalii??

2. IMAMU jana walitoa waraka gani kuhusu upigaji kura hapa TANZANIA???
 
Huyu hana hoja anbwabwaja tu huko kanisani waxungu wanapigana vita hana ruzuku na serikali inamdengulia wacha atokwe povu
Na wewe panzi kwa kwa kutulia na elimu yako ya madrasa..
 
Hii ni kama ajabu vile, kanisa katoliki kutetea watoto?
Yaani wao ndio wa kwanza kuwaharibu watoto, tena uharibifu mbaya kabisa, leo eti anawatetea?
Hapana aisee
 
Hii ni kama ajabu vile, kanisa katoliki kutetea watoto?
Yaani wao ndio wa kwanza kuwaharibu watoto, tena uharibifu mbaya kabisa, leo eti anawatetea?
Hapana aisee
Uharibifu upi unaozungumzia wewe TEC wamefanya ?? πŸ€” πŸ€”.
 
Mawakala wenu wako wapi? nini kazi yao. waweke ushahidi hapa sio porojo tu. Isiwe mnajuwa mnapigwa chini uchaguzi mnatafuta visababu.
 
Mawakala wenu wako wapi? nini kazi yao. waweke ushahidi hapa sio porojo tu. Isiwe mnajuwa mnapigwa chini uchaguzi mnatafuta visababu.
Ushahidi upi unaoutaka mkuu?? πŸ€” πŸ€”.
Wakati mambo yapo wazi kabisa.

1. Hujaona ile ya jina la marehemu kukutwa kwenye daftari la wapiga kura??

2. Hujaona ile ya mwanza kutoka majina 680 mpaka majina 880,?? ( kwamba watu walijiandikisha usiku watu 200 tukiwa tumelala??
 
Sasa lipi jipya katika hili? CCM inajulikana mbinu zake na nyinyi mnajuwa vizuri sana sasa mnashangaa nini? CCM hata asipojiandikisha hata mtu mmoja unajuwa kitatokea nini. Chadema ni lazima muwe mnajipanga kuwa na wakala kila sehemu sio mnaachia CCM wako wenyewe unategemea nini. Watu wengi wanachukia CCM lakini wakipima na hawa wengine wanarudi kwenye msemo zimwi ulijualo......nyinyi hamjulikani mnasimamia nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…