Mbona hujibu kile ninachokuuliza??
Tatizo wewe unalazimisha ujinga uendelee kudumu kwenye Taifa, watu wenye akili hawawezi kuruhusu kitu kama hiki kifanyike, watoto wadogo wapige kura ili iweje wakati watu wazima wapo wa kutosha!!!
Hoja yako Haina msingi, Ndo maana nilikuuliza hapo mwazo "kuwa katiba ya CCM ndo ipo hivyo kama unavyo zungumza hapa??
1. Wewe ni mzanzibar au mtanganyika??, kila kona watu wanalalamika kuwa kuna majina feki yanaongezwa kwenye daftari la wapiga kura, taarifa ya habari huwa huangalii??
2. IMAMU jana walitoa waraka gani kuhusu upigaji kura hapa TANZANIA???