Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!

KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.

Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.

"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.

Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.

Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.

"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?

Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.

My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.

Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?

Nawasilisha.
Kiukweli huyu mama style yake ya uongozi inashangaza. Naona anawagawa watumishi badala ya kuwaunganisha.

Hili ni tatizo kubwa!
 
Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Vibaraka wa CCM ni wanafiki; sasa wewe unalalamikia nini?! Hampaswi kulalamika kabisa sababu ndivyo mlivyokuwa mkitaka, mwacheni afanye kazi.

Aliye mteua kalidhika naye...
"Mitano tena"
 
Ukitaka kujua mama ana shida angalia alivyokuwa anasoma ripoti ya ujenzi wa Hospital kule Chato mbele ya JPM na Nyusi
Nilifikiri mimi tu ndio nilimshangaa, huyu mama akitulia na akiacha dhana potofu kuwa kutembea na bendera ya taifa begani
ndio utendaji, anaweza kufanya kazi nzuri, naona anasumbuliwa na superiority complex.
 
Msihadaike na short clips za kwenye mitandao, pateni full content (mahojiano yote) kisha mhukumu
 
Una point kubwa sana katika hili Jane, nadhani anahamisha stress za mahali Fulani kuzileta ofisini. Inaonekana kama katika utumishi wake aliwahi kunyanyasika kipindi Fulani kwa hiyo kapata nafasi ya kulipiza. Ulikimsikiliza anaongelea Wizi, Wizi, Wizi, Majungu, Majungu, Majungu, Fitina, Fitina, Fitina, Umbea, Umbea, Umbea.
Ukiondoa wizi hayo mengine ni maneno ya mitaani ambayo hakuna kiongozi anaweza kuyamaliza kwenye taasisi yake.
Na mimi nahisi labda aliwahi kunyanyaswa na wakubwa zake wakati yupo kwenye level za chini, so anajaribu kulipiza kisasi kwa njia ya mipasho.

Nahisi ina uhusiano na yeye kusoma Russia maybe, maybe. Kwenye circles za madaktari wa itanzania, huwa hakuna imani kubwa sana na madaktari wenzao waliosoma Russia katika kupractise. Always huwa hawako competent sana. So, maybe wakati ni daktari mfawidhi naye alipitia kuangaliwa kwa namna hiyo. Maybe.

Siku ya kwanza anaingia ofisini alikuwa anasisitiza kuwa wizara ya afya ina "majungu" mara "personality" kwasababu yeye "amekulia" humo kwahiyo anaijua vizuri sana. Halafu juzi hapa tena alikuwa anampayukia mfanyakazi wa hospitali ya Ukerewe "Mimi ni Field Marshal". Hizo zote kwa pamoja zinatoa picha kuwa ana inferiority complex. Anatumia nguvu nyingi kujielezea
 
Wanaofanya vetting lazma walikula rushwa ya ngono kwa huyu kichaa
 
Ninyi mnaomkoromea huyu mama, hivi mnafahamu madudu yaliyopo sekta ya afya?

Maujinga wanayofanya watu wengi ndio yanasababisha mtu mzima kama Dr Gwajima aonekane kama mwehu...

Watendaji wa sekta ya afya wana maujinga sana
Sasa kwa utendaji wake wa aina hii, mbona hayo madudu ndiyo yataongezeka.
 
Acha mnyoooshwe ninyi madokta na wafamasia mliozoea kuiba iba dawa zetu. usikute wewe ni mfamasia unataka tukuonee huruma hapa. Ndugu waziri fanya kazi yako

Kama jiwe alikuja na mikwara kibao bado watu wanapiga humo humo, itakuwa hicho kinyago chake? Huyo kaingia na siasa za kiki wakati zimeshafeli, amuulize Kigwangalla na Lugola ile mikwara mbuzi iliishia wapi.
 
Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!

KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.

Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.

"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.

Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.

Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.

"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?

Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.

My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.

Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?

Nawasilisha.
Mwambieni Watanzania wanataka BIMA YA AFYA, awache noisy pollution
 
Kuongoza si kupayuka wala kuwapigia kelele unaowaongoza, kuna tatizo waelekeze na waonye kistaha kama watu wazima wenzio.
Mtu kakwamisha mahali mchomoe kimya kimya kwa maandishi si lazima kila mtu ajue fulani kapigwa mkwara + vitisho. “Ustaarabu”
 
Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!

KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.

Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.

"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.

Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.

Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.

"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?

Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.

My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.

Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?

Nawasilisha.
Mzee !
Kakupitia?
 
Sasa kwa utendaji wake wa aina hii, mbona hayo madudu ndiyo yataongezeka.
Akiwa kimya yataongezeka maradufu...

Sisi Watanzania/Waafrika pasipo kusukumwa na kukimbizwa kama ng'ombe, huwa tunarelax na kufanya mambo kwa taratibu zetu...

Sekta ya afya ni sehemu nyeti sana kwa kiongozi wake kurelax kama watendaji wengine wa chini wanavyobung'aa tu...
 
Hiyo hali ya kukanyagwa kanyagwa na wanasihasa waliiruhusu wasomi wenyewe, hadi watakapotambua hili ndo wataweza ku drive mabadiliko. Huyo waziri kama nilimsikia rais vizuri alivyokuwa naibu katibu mkuu afya watendaji walikuwa wanamdharau, naona sasa kakamata rungu. Mimi binafsi huwa namwona kwenye TV akiwa so excited, ana mwonekano simple na probably ni mlokole. Yeye kwa sababu ni mtaalamu kwenye hiyo wizara na amefikia ngazi ya naibu katibu mkuu natarajia kwamba yuko more informed kuhusu sekta yenyewe na changamoto zake na hivyo hatakiwi kuwa na mihemuko mingi kama mtu mwingine ambaye si mtaalamu.
 
Duh, huenda kipindi Mama Ummy anaendelea na kazi huku chini na wachimbaji nao walikuwa kazini...."niweke mimi pale uone moto"
Ashakuwa katibu wizara hiyo
Ashakuwa dmo,rmo...
Huyu anaijua vizuri sekta ya afya anajuaa upigaji wote unaofanyikaa
Mama hyo syo boya
Ndomana anawatoa jasho
Ila ukweli ni kitengo cha madawa wapigaji sana na washazoea kuishi kwa kupiga....

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Anachamba kama Juma Lokole... [emoji23] [emoji23]
 
Huyo Bibi anaongea sana mpaka kero .Kama ana mume ,mume wake anakazi aisee.
 
Back
Top Bottom