Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli huyu mama style yake ya uongozi inashangaza. Naona anawagawa watumishi badala ya kuwaunganisha.Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!
KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.
Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.
"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.
Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.
Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.
"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?
Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.
My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.
Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?
Nawasilisha.
Vibaraka wa CCM ni wanafiki; sasa wewe unalalamikia nini?! Hampaswi kulalamika kabisa sababu ndivyo mlivyokuwa mkitaka, mwacheni afanye kazi.Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
Nilifikiri mimi tu ndio nilimshangaa, huyu mama akitulia na akiacha dhana potofu kuwa kutembea na bendera ya taifa beganiUkitaka kujua mama ana shida angalia alivyokuwa anasoma ripoti ya ujenzi wa Hospital kule Chato mbele ya JPM na Nyusi
Na mimi nahisi labda aliwahi kunyanyaswa na wakubwa zake wakati yupo kwenye level za chini, so anajaribu kulipiza kisasi kwa njia ya mipasho.Una point kubwa sana katika hili Jane, nadhani anahamisha stress za mahali Fulani kuzileta ofisini. Inaonekana kama katika utumishi wake aliwahi kunyanyasika kipindi Fulani kwa hiyo kapata nafasi ya kulipiza. Ulikimsikiliza anaongelea Wizi, Wizi, Wizi, Majungu, Majungu, Majungu, Fitina, Fitina, Fitina, Umbea, Umbea, Umbea.
Ukiondoa wizi hayo mengine ni maneno ya mitaani ambayo hakuna kiongozi anaweza kuyamaliza kwenye taasisi yake.
Sasa kwa utendaji wake wa aina hii, mbona hayo madudu ndiyo yataongezeka.Ninyi mnaomkoromea huyu mama, hivi mnafahamu madudu yaliyopo sekta ya afya?
Maujinga wanayofanya watu wengi ndio yanasababisha mtu mzima kama Dr Gwajima aonekane kama mwehu...
Watendaji wa sekta ya afya wana maujinga sana
Acha mnyoooshwe ninyi madokta na wafamasia mliozoea kuiba iba dawa zetu. usikute wewe ni mfamasia unataka tukuonee huruma hapa. Ndugu waziri fanya kazi yako
Mwambieni Watanzania wanataka BIMA YA AFYA, awache noisy pollutionTahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!
KWA muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima.
Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila mtu kuwa ni mwizi na kujitapa kuwa hakuna anayejua kila kitu katika wizara hiyo kama yeye.
"Hivi mnajua mimi ni Field Marshal wa sekta ya afya?" anawafokea madaktari Bingwa zaidi yake na kuongeza, "kama ningekuwa Mwanasheria mngenidanganya sana" kuonesha kuwa mtangulizi wake Mwanasheria, Ummy Mwalimu alikuwa akidanganywa sana. Huku ni kumdharau Waziri mwenzie aliyeaminiwa na Rais Magufuli.
Lakini hata "body language" ya mama huyu inaonesha kuhemka mno kiasi Cha kufanana na kina mama "ndala ndefu" wa huko Tandale wanaochambana bombani huku ameshika kiuno.
Cha ajabu, kama alivyowahi kufanya Dk. Hamisi Kigwangala "mzee wa kukurupuka" naye kila anapotaka kuwadhalilisha wahudumu wa sekta hiyo ni lazima awe mbele ya kamera ili aonekane. Huyu mama ameenda mbali kiasi Cha kutorokwa hata na haiba na staha ya mwanamke wa Kitanzania mbele ya wanaume.
"Field Marshal" ni cheo Cha juu na Cha mwisho jeshini. Hivi, Dk. Gwajima anadhani ni Bingwa wa afya kuliko maprofesa wote wa tiba nchini? Kwani kuongoza ni lazima kudhalilisha wenzako hadharani?
Wakati yule "mkata viuno" aliyetembea na Ilani ya CCM akijiita "ninja" huyu kaja na skafu ya bendera akijiita "Field Marshal". Mwendo uleule wa kukurupuka na kujipendekeza.
My Take: Napendekeza madaktari wafuatilie faili lake la matibabu anakotibiwa kuona anasumbuliwa na ugonjwa gani? Yapo baadhi ya magonjwa ambayo humfanya mtu ku-react ukichaa kama mama huyu.
Lakini pia wadadisi wachunguze mahusiano yake ya ndoa. Je, ana familia au ni mtalikiwa? Maana mahusiano ya ndoa na familia yakiwa salama pia huleta utulivu katika uongozi wenye staha, hekima, busara na maarifa. Huwezi kukufanya kuwa wizara hiyo imeoza kiasi kwamba waliopita kabla yake hawakufanya chochote. By the way, si tunaambiwa utawala wa Magufuli umeondoa ufisadi na uzembe kazini?
Nawasilisha.
Mzee !Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru!

Duh sura ngumu
Akiwa kimya yataongezeka maradufu...Sasa kwa utendaji wake wa aina hii, mbona hayo madudu ndiyo yataongezeka.
Ashakuwa katibu wizara hiyoDuh, huenda kipindi Mama Ummy anaendelea na kazi huku chini na wachimbaji nao walikuwa kazini...."niweke mimi pale uone moto"
Anachamba kama Juma Lokole... [emoji23] [emoji23]Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.

Msihadaike na short clips za kwenye mitandao, pateni full content (mahojiano yote) kisha mhukumu