Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Sekta ya Afya ni Sekta nyeti sana na in Sekta ambayo Serikali na wafadhili mbalimbali wamekua wakinwaga mifedha mingi ajabu ni Fedha nyingi sana zimepigwa na viongozi wa Sekta hiyo yani ma DMO na MaDED... Ukieenda saivi ktk hospital za Serikali yan Vituo vya Afya,Zahanati na Hospital za Wilaya huwezi amini HAKUNA MADAWA zaidi ya Diclopa,Aluu na Dawa za kuharisha... ma Dr wengi wameiba sana hadi kufungua Dispensary zao na Pharmacy zao... Dr Gwajima amekua Tamisemi upande wa Afya anaijua fika Sekta hii... Tusimkatishe Tamaa aendelee kutumbua plus kuwafokea maana wameiba vyakutosha
 
Acha maza aendelee kutuburudisha kwa vichambo.

Nampenda huyu mama kwa staili yake ya kuongea.

Madaktari mtanyooka tu na mimi nasema awanyooshe tu cumamae zenu[emoji23][emoji23][emoji23] maana hakuna namna nyingine.

Lugola alikua ananinyooshea polisi, huyu mama amekuja kuwanyoosha madaktari. Safi sana.
Mamayo akifa wakati anajifungua uje hapa tena kuendelea kupongeza uswahilina na utopolo wa huyo waziri.
 
Angalieni msimfitini,kwa wivu ama hisia,Kuna sheria gani kavunja??Kama kavunja sheria boss wake atamchukulia hatua stability,within seconds
 
Wakuu habari za mchana.
Naomba walio karibu na huyu mama waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto, wampe semina ya ku-behave kama top government official. Naona hilo linamshinda. Mama atulize ubongo aje na solutions. Aache majungu na malalamiko kila kukicha.

Hizi clip tunazoziona hazimpi heshima kabisa. Anajiita Field Marshall wa wizara lkn mimi namuona bado sana.
Kama ana vinyongo na maumivu ya huko nyuma, asahau. Ajulishwe majukumu yake kama waziri. Aache kuleta viswahili kama vya vijiwe vya kina mama wakiwa peke yao.
Anahitaji semina elekezi.
 
Ungesema where is wrong and how she suppose to be. Kuliko kufikiria kwamba clip uliyoiona wewe kila mtu kaiona
 
Wakuu habari za mchana.
Naomba walio karibu na huyu mama waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto, wampe semina ya ku-behave kama top government official. Naona hilo linamshinda. Mama atulize ubongo aje na solutions. Aache majungu na malalamiko kila kukicha.

Hizi clip tunazoziona hazimpi heshima kabisa. Anajiita Field Marshall wa wizara lkn mimi namuona bado sana.
Kama ana vinyongo na maumivu ya huko nyuma, asahau. Ajulishwe majukumu yake kama waziri. Aache kuleta viswahili kama vya vijiwe vya kina mama wakiwa peke yao.
Naona kashalewa madaraka maana anajiamini kabisa kuwa hakuna wa kumgusa maana hilo jina lina mbeba sana,ref kwa Bashite
 
Mkuu mm nikisema kwenye mtaandao fln HV kuwa mam huyu atulize wenge lkn watu wa lumumba walinishambulia snaa
 
Hiyo haiba ya utemi na kujiona bora kiuongozi haiko kwa Dr Dorothy Gwajima peke yake.

Nenda uwaangalie Waziri wa Maji - Jumaa Aweso na Naibu wake

Nenda Tamisemi kwa Jafo na Naibu wake Bwana Silinde

It seems wamechagua kufanya kazi namna hiyo ili kumuimpres boss wao

Imbombo ngafu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Sekta ya Afya ni Sekta nyeti sana na in Sekta ambayo Serikali na wafadhili mbalimbali wamekua wakinwaga mifedha mingi ajabu ni Fedha nyingi sana zimepigwa na viongozi wa Sekta hiyo yani ma DMO na MaDED... Ukieenda saivi ktk hospital za Serikali yan Vituo vya Afya,Zahanati na Hospital za Wilaya huwezi amini HAKUNA MADAWA zaidi ya Diclopa,Aluu na Dawa za kuharisha... ma Dr wengi wameiba sana hadi kufungua Dispensary zao na Pharmacy zao... Dr Gwajima amekua Tamisemi upande wa Afya anaijua fika Sekta hii... Tusimkatishe Tamaa aendelee kutumbua plus kuwafokea maana wameiba vyakutosha
Kuna jambo ambalo ktk ujinga wangu wakati fulani huwa naufikiria.

Wateule waliowengi hudhani wao ndio waaminifu na watumishi ndio siyo waaminifu. Wateule hujikuta muda mwingi kutumia kuhoji, kuhukumu na kuadhibu watumishi badala ya kufanya tathmini za kweli kuhusu changamoto zetu.

Uaminifu hauko-garanteed na kuteuliwa na hivyo kumfanya mtumishi kujiona yy ndiye wakuchunguzwa daima.

Tunachangamoto nyingi tofauti kabisa na dhana ya hapo juu....!!!
 
Wakuu habari za mchana.
Naomba walio karibu na huyu mama waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto, wampe semina ya ku-behave kama top government official. Naona hilo linamshinda. Mama atulize ubongo aje na solutions. Aache majungu na malalamiko kila kukicha.

Hizi clip tunazoziona hazimpi heshima kabisa. Anajiita Field Marshall wa wizara lkn mimi namuona bado sana.
Kama ana vinyongo na maumivu ya huko nyuma, asahau. Ajulishwe majukumu yake kama waziri. Aache kuleta viswahili kama vya vijiwe vya kina mama wakiwa peke yao.
wee nini, tulia uchambwe, watu wa afya mlikuwa mnajisahau sana, sasa maza......
anawapeleka kijeda hakuna cha wee ni boss wala nini, huyu mwanamke lazma awatoe kijasho.
Safi sana mama Dorothy endelea kukaza zaidi tunataka viongozi wachapa kazi na wazalendo ka Dorothy Gwajima.
 
Back
Top Bottom