Maoni.
Serikali sasa ni wakati wa kumpatia ulinzi DR. Ndugulile, hasa kipindi anapokua ndani ya nchi,
Yaani miezi hii sita ya mpito alindwe kwelikweli, maana cheo alichopata ni dhamana kubwa,
Mnaweza kumpangia ulinzi wa wasioonekana, au alindwe na watu wasio na sare itapendeza zaidi,
Hii ni Kwa sababu dunia na afrika Kwa ujumla inamtazama sana sana
Kwani kuna m CCM aliyepotea?