Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hizi si ngonjera za miaka yoteTayari Ndugulile ameeleza wazi kuwa vipaumbele vyake ni kuhakikisha Watu wanapata haki ya kupata huduma bora za afya, kuboresha utayari wa nchi za Afrika katika kukabiliana na majanga ya magonjwa ya mlipuko, kuimarisha uwajibikaji ndani ya WHO kanda ya Afrika pamoja na kuimarisha mawasiliano baina ya nchi wanachama katika masuala ya Afya.
