Dkt. Godwin Mollel: Wana CCM wenzetu wameanza kuugua kifafa, ukivaa kola madhabauni na ukafanya ushetani tunakufuata huko huko

Dkt. Godwin Mollel: Wana CCM wenzetu wameanza kuugua kifafa, ukivaa kola madhabauni na ukafanya ushetani tunakufuata huko huko

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.


 
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.

Hoja ya Gwajima ni kukomesha utekaji, uuaji, ubakaji.

Inajibiwa kirahisi kwa nchi yoyote nyingine duniani. Kwamba jeshi la polisi litachunguza na kuwaleta mahakama wahusika.

Statement ya serikali ilitakiwa kusema tunapinga vikali vitendo vya ulawiti, ubakaji, utekaji. Jeshi la polisi limejipanga kukomesha huu uhuni na kuwatafuta na kuwafikisha mahakamani wahusika.

Jeshi la polisi linawakumbusha Watanzania kazi yao ni kuwalinda wananchi, mali zao, amani na haki. Kulikuwa hakuna sababu viongozi wote kumshambulia Gwajima.
 
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.

Huyu mpumbavu molel hata kichwa chake na pua ukiangalia tu unajua hazimtoshi, hajawahi kuongea jambo la maana zaidi ya uchawa tu. Huyu ndie aliomba Magufuli apewe corona na kweli corona ikamfyekelea mbali.
 
Ni daktari ulizani wa lasaba B huyu ni msomi mzuri na ameongea vizuri sana. Ukileta ushetani unafuatwa huko huko maana ukicheka na nyani unavua mabua.
Sasa anayeteka watu na kuwaua na yule ambaye anapinga utekaji huo na mauaji yupi shetani? Kosa la Gwajima hadi sasa ni moja tu, haungi mkono utekaji wala mauaji, wanaompinga tumeshajua msimamo wao, kama watekaji si wao basi ni mwenzao, hivyo wanamsapoti.
 
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.

Huyu mkoma nilimdharau toka siku hii,huyu ni takataka kabisa
 

Attachments

  • Tapatalk-Download-643653540Tapatalk-Download-4121273421631080852860.mp4
    388.1 KB
Back
Top Bottom