DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
ana shida gani? he is MD, MPH (UDSM-MuHAS)Ndio Waziri wa Afya huyu sasa.
Mnaweza ona shida tuliyonayo kama nchi.
ana shida gani? he is MD, MPH (UDSM-MuHAS)Ndio Waziri wa Afya huyu sasa.
Mnaweza ona shida tuliyonayo kama nchi.
Hatziungatii taaluma yake. Anaweka ushabiki wa kisiasa mbele.ana shida gani? he is MD, MPH (UDSM-MuHAS)
Politics ni zaidi ya dini, taaluma yake alishaitendea haki kwa nafasi za utendajiHajungatii taaluma yake. Anaweka ushabiki wa kisiasa mbele.
Dini imevamiwa
Hana MD huyo!!ana shida gani? he is MD, MPH (UDSM-MuHAS)
Dini imemvamia Kaisari hiyo ni mbaya, "Basi, mpeni Kaisari yaliyo yake Kaisari (Mk 12:17)Dini imevamiwa
Eeh Mungu ingilia kati
Ponjoro mwingine mollelNaibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
👍👍👍Hoja ya Gwajima ni kukomesha utekaji, uuaji, ubakaji.
Inajibiwa kirahisi kwa nchi yoyote nyingine duniani. Kwamba jeshi la polisi litachunguza na kuwaleta mahakama wahusika.
Statement ya serikali ilitakiwa kusema tunapinga vikali vitendo vya ulawiti, ubakaji, utekaji. Jeshi la polisi limejipanga kukomesha huu uhuni na kuwatafuta na kuwafikisha mahakamani wahusika.
Jeshi la polisi linawakumbusha Watanzania kazi yao ni kuwalinda wananchi, mali zao, amani na haki. Kulikuwa hakuna sababu viongozi wote kumshambulia Gwajima.
Kama hiyo ndiyo akili ya msomi, bora hicho Chuo kifungiwe tu.Ni daktari ulizani wa lasaba B huyu ni msomi mzuri na ameongea vizuri sana. Ukileta ushetani unafuatwa huko huko maana ukicheka na nyani unavua mabua.
Hana usomi wowote zaidi ya utapeliKama hiyo ndiyo akili ya msomi, bora hicho Chuo kifungiwe tu.
Watekaji wapo kwenye mfumo tunaishi naoSasa anayeteka watu na kuwaua na yule ambaye anapinga utekaji huo na mauaji yupi shetani? Kosa la Gwajima hadi sasa ni moja tu, haungi mkono utekaji wala mauaji, wanaompinga tumeshajua msimamo wao, kama watekaji si wao basi ni mwenzao, hivyo wanamsapoti.
Leo ndiyo nimeelewa tafsiri ya huo usemi!Ukitupa jiwe kwenye giza(gizani) ukisikia kelele jua limepata/ limemgonga.
Baba yangu mkubwa hajui kusoma wala kuandika lakini kamzidi hekima mbali sana!MD, MPH (UDSM)
Nafikiri anatafuta teuzi, awe waziri kamili. Statements zake kwa miaka miwili iliyopita zimekuwa za hovyo sana.Baba yangu mkubwa hajui kusoma wala kuandika lakini kamzidi hekima mbali sana!