Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Hoja za gwajima mpaka Sasa hazijajibiwa.
Mmoja wa wasiojulikana sasa kajulikana?Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
hekima siyo taaluma, ila ni submission to unknown cause.Baba yangu mkubwa hajui kusoma wala kuandika lakini kamzidi hekima mbali sana!
Atarudi anachosema ni kweli,Sasa hivi huduma zimeboreshwa sana.Sidhani kama atarudi hapo Dodoma
Hahaaa mkuki huo kwa nguruwe kwako mchungu.Kama hiyo ndiyo akili ya msomi, bora hicho Chuo kifungiwe tu.
Ujinga mtupu sijui mmsai wa wapi huyu. Jimbo la Siha hawamtaki huyu ponjoro mweusiNaibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Sijui aliwadanganyaje?Ujinga mtupu sijui mmsai wa wapi huyu. Jimbo la Siha hawamtaki huyu ponjoro mweusi
Huyo anayejiita Dr. wakati mwingine anakuwa kama ana tatizo la akili vile!Nafikiri anatafuta teuzi, awe waziri kamili. Statements zake kwa miaka miwili iliyopita zimekuwa za hovyo sana.
Ila to be fair kila waziri anaboronga chini ya huyu Mama. Bashungwa, Majaliwa, Mpango, Biteko, Aweso, hadi Slaa. Haya ni majembe mazuri sana ya uhakika yakipata Rais mzuri wa kuwasimamia na kusikilizwa.
AnarudiSidhani kama atarudi hapo Dodoma
PhD ya makaratasiHivi Elimu yake ni ya darasa la ngapi vile?
eti lbd huko juu lbd gorofa zao zinashida.Hoja ya Gwajima ni kukomesha utekaji, uuaji, ubakaji.
Inajibiwa kirahisi kwa nchi yoyote nyingine duniani. Kwamba jeshi la polisi litachunguza na kuwaleta mahakama wahusika.
Statement ya serikali ilitakiwa kusema tunapinga vikali vitendo vya ulawiti, ubakaji, utekaji. Jeshi la polisi limejipanga kukomesha huu uhuni na kuwatafuta na kuwafikisha mahakamani wahusika.
Jeshi la polisi linawakumbusha Watanzania kazi yao ni kuwalinda wananchi, mali zao, amani na haki. Kulikuwa hakuna sababu viongozi wote kumshambulia Gwajima.
Tulivyokua watoto tuliambiwa watu wenye vipara bila nywele wana akili. Kumbe sivyoNaibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Wapatie dawa za kifafa wapone kuugua.Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Huyu ana megabytes ndogo sana kichwani inabidi muwe wavumilivu🐼