Dkt. Godwin Mollel: Wana CCM wenzetu wameanza kuugua kifafa, ukivaa kola madhabauni na ukafanya ushetani tunakufuata huko huko

Dkt. Godwin Mollel: Wana CCM wenzetu wameanza kuugua kifafa, ukivaa kola madhabauni na ukafanya ushetani tunakufuata huko huko

Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.

Tunaenda na Mwanry Mzee wa Sukuma ndani .
MchaMungu na mnyenyekevu lakini asiyependa uzembe kazini .
Mwandri Mtu msafi wa moyo na matendo
 
Tunaenda na Mwanry Mzee wa Sukuma ndani .
MchaMungu na mnyenyekevu lakini asiyependa uzembe kazini .
Mwandri Mtu msafi wa moyo na matendo
Kwani hilo jimbo halina vijana shupavu wachapa kazi mpaka arudi huyu mstaafu kwenye kila sector hapa Tanganyika.
 
Tunaenda na Mwanry Mzee wa Sukuma ndani .
MchaMungu na mnyenyekevu lakini asiyependa uzembe kazini .
Mwandri Mtu msafi wa moyo na matendo
Duuh,hapo kwenye usafi ungeondoa haraka..Maana tuliyofanya naye kazi akiwa Naibu Waziri wa Tamisem hatuwezi kukubaliana na sifa unazompatia.
Sifa uliyopatia hapo ni uwezo wake wa kuongea porojo kifutuhi.
 
Back
Top Bottom