Dkt. Godwin Mollel: Wana CCM wenzetu wameanza kuugua kifafa, ukivaa kola madhabauni na ukafanya ushetani tunakufuata huko huko

👍👍👍
 
Watekaji wapo kwenye mfumo tunaishi nao
 
Baba yangu mkubwa hajui kusoma wala kuandika lakini kamzidi hekima mbali sana!
Nafikiri anatafuta teuzi, awe waziri kamili. Statements zake kwa miaka miwili iliyopita zimekuwa za hovyo sana.

Ila to be fair kila waziri anaboronga chini ya huyu Mama. Bashungwa, Majaliwa, Mpango, Biteko, Aweso, hadi Slaa. Haya ni majembe mazuri sana ya uhakika yakipata Rais mzuri wa kuwasimamia na kusikilizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…