Dkt. Godwin Mollel: Wana CCM wenzetu wameanza kuugua kifafa, ukivaa kola madhabauni na ukafanya ushetani tunakufuata huko huko

Huyo anayejiita Dr. wakati mwingine anakuwa kama ana tatizo la akili vile!

Ni aibu kumwita Dr. mropokaji kama huyo! Anawaibisha wasomi!!!
 
eti lbd huko juu lbd gorofa zao zinashida.
 
Hio nafasi alipewa na magu baada ya kumsifia na sio kwa uwezo
 
Huyu naye anajipetipeti mwenywe tu wakati kule siha keshasahaulika na jiwe hayupo, mbeleko ilishagachanika kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…