1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
Tunaenda na Mwanry Mzee wa Sukuma ndani .Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Mongolian idiot !!Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Naibu Waziri wa Afya asirudi? Huyu ni Kati ya chawa 3 waliokuwa Upinzani na wamedumu Hadi Sasa.Sidhani kama atarudi hapo Dodoma
Kwani hilo jimbo halina vijana shupavu wachapa kazi mpaka arudi huyu mstaafu kwenye kila sector hapa Tanganyika.Tunaenda na Mwanry Mzee wa Sukuma ndani .
MchaMungu na mnyenyekevu lakini asiyependa uzembe kazini .
Mwandri Mtu msafi wa moyo na matendo
Duuh,hapo kwenye usafi ungeondoa haraka..Maana tuliyofanya naye kazi akiwa Naibu Waziri wa Tamisem hatuwezi kukubaliana na sifa unazompatia.Tunaenda na Mwanry Mzee wa Sukuma ndani .
MchaMungu na mnyenyekevu lakini asiyependa uzembe kazini .
Mwandri Mtu msafi wa moyo na matendo
Stupidy kabisa, ameanza ku abuse wagonjwa. Anyway kwa vile udaktari wake ni wa meno.Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Amerudi kwa msaada wa SamuyaSidhani kama atarudi hapo Dodoma
Bahati mbaya ni kuwa wewe walikufuata vichochoroni,ni bora wangekufuata angalao madhabahuni!Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.