Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya Uongozi wake.
Amesema kuwa wanaotaka kuvuruga amani wanatujengea chuki kati yetu sisi wenyewe pamoja na kutuondoa kwenye ndoto kubwa ya Tanzania yetu.
"wakati Hayati Magufuli anaondoka aliacha miradi mikubwa mingi lakini lakini niseme mikubwa miwili moja mradi wa SGR Reli ya kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma hadi Mwanza, ukiangalia kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma asilimia 70 ya kila kitu imefanya na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan leo unatoka Dodoma saa 12 saa 3 na nusu uko Dar es Salaam anaelewa maana ya uchumi wanaelewa maana yake nini "
Ameongeza kuwa" Leo Bwawa la Mwalimu Nyerere alikuta chini ya Asilimia 50 leo bwawa la Mwalimu Nyerere limeisha wanaoelewa maana ya Uchumi na ukuaji wa Viwanda na mambo mengine wanaelewa maana yake ni nini ukizungumzia umeme hayo yanenda kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja "
Aidha amesema kuwa Dkt.Samia ndani ya sekta ya utalii amefuta kitu kinachoitwa high season na low Season lakini bado kuna watu wanatumia nguvu nyingi kusema Watu wasije Tanzania jambo ambalo litadhorotesha uchumi wa Tanzania katika sekta ya utalii.
Pia soma > GE2025 - Jimbo la Siha kimenuka mke wa Mollel apigwa na gari lachomwa