Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

MH. Hongera kwa hatua ulizochukua walau itaondoa upotoshaji kwa jamii hasa vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa.
 
Maoni yangu yanahusiana vp na Chadema?!
Huyo dada kama amevunja sheria , wampeleke mahakamani sio kumkutanisha na waziri.
 
Nakupongeza sana Mh. Waziri kufuatilia jambo hili. Wapo wengi wanaleta taharuki kwa jamii ni vizuri wakadhibitiwa Ili kuondoa upotoshaji
 

Hiyo ni one way traffic, mkuu.

Bangi ikiota yenyewe kwenye shamba lako ni kosa lako ila wakikuta dhahabu inakua ya serikali.
 
Reactions: Lax
Hiyo ni one way traffic, mkuu.

Bangi ikiota yenyewe kwenye shamba lako ni kosa lako ila wakikuta dhahabu inakua ya serikali.
Ngoja tusome sheria, wakijafuta leseni tunahama nchi
 
Hapa ndipo tatizo linapo anzia
Halafu juzi Millard Ayo anaomba kwa waziri mkuu eti wapunguziwe ada ya kusajili online TV? Upuuzi mtupu? Tena iongezwe hiyo laki 5 iwe hata 1.5m ili wajitambue! Wanatujazia maujinga yaani ukienda kusikiliza ni ugoro mtupu!
 
Alinitiaga nyege yule binti alivosema anapigwa ukuni na nyoka
 
Binti anaitwa Veronica Bernard Anton lakini amevaa kama bint wa kiislam yote hiyo kuchafua waislam waonekane wanapenda kujishirikisha na ushirikina[emoji23] ila hii nchi inavichaa sanaa
kuna angle fulani huwa mnadai hayo ni mavazi tu yaani nyie ni vinyonga kweli.Uislam ni utamaduni wa kiarabu.
 
na dr sule imekuwaje avae suti ili hali ni muislam?au kuna muda huwa analitadi na kurudi tena?kama unaamini mavazi ni ya dini fulani we ni mtumwa umeathirika vibaya!
 
Mmmh wewe ni tatizo uelewa wako mdogo sana!
 
mimi natafuta demu "nyoka"
 
Uko ni kukosa kazi km nchi inamatatizo na mambo meng ya kushugulikia
Yan waziri mzma unaenda kufocus na maisha binafsi ya mtu huo ni uzwazwa na kukosa kaz na ayo ndo tunaita matumizi mabaya ya pesa na kodi za wananchi
 
Ujinga bado ni adui namba moja wa watanganyika. Story za ushirikina siku zote zinatamalaki kwenye jamii ya watu wajinga. Story kama hii, mtu kujifungua jiwe, watu kufufuka, misukule, watu kupaa na ungo, hela za kishirikina nk nk bado zinaendelea kushika kasi sababu ya ujinga wa kiwango cha SGR wa mitanganyika. Story kama hizi huwezi kuzikuta kwenye jamii za watu walioelimika.
 
Karibu tushirikiane tafadhali
Mhe Waziri, nianze na kukupongeza sana kwa jinsi ulivyolishughulikia hili suala na kuzuia upotoshwaji wa huyo binti kuendelea na hivyo kuleta madhara kwa jamii yetu. Pili nashauri huyo binti na hiyo online media iliyoripoti na kulikuza hilo jambo wachukuliwe hatua kali kabisa ili iwe fundisho kwa jamii.

Jamii yetu (hasa vijana ambao ndiyo wengi) kwa kiasi kikubwa imekuwa ikilishwa habari nyingi za upotoshwaji, uwongo na uvunjifu wa tabia na maadili yetu, hivyo kila kunapokuwa na fursa ya kuwashughulikia wahusika, kama ulivyofanya, basi tusirudi nyuma hata kidogo. Hongera sana Mhe Waziri!!
 
Wakamate na wanaofufua watu,kuponya vilema na magonjwa yote kwa kuombea,Kuna tapeli mpya redioni anafufua na kumponya ndugu yako hata Kama yupo marekani
 
Naweza kusema kwamba mheshimiwa unafanya kazi kubwa sana, kama una mapungufu ni ya kibinadamu tu. Unastahili cheo kikubwa zaidi kwenye hii nchi.
 
Maoni yangu yanahusiana vp na Chadema?!
Huyo dada kama amevunja sheria , wampeleke mahakamani sio kumkutanisha na waziri.
Court ilikuwa inamuhusu yule dada Isipokuwa tushukuru busara za waziri wetu, ameshughulika na hili kijamii zaidi.
 
Inawezekana ni kweli analala na nyoka, kama nyoka hiyo ni jini analolifuga, hapo analegesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…