Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

Mama hongera sana kwa hili.

Lakini nikukumbushe pia kuna huko makanisani hasa haya yasioeleweka ni ya dhehebu gani, umeona kilichofanywa na hao wa nyoka, basi kitu hicho hicho kinafanywa makanisani na wanaohusishwa kutoa shuhuda za uongo zinazofedhehesha ni wanawake na watoto.

Clips zipo nyingi sana mtandaoni. Naomba unapotoa warnings kwa hawa iweke general kwa wote wanaoutumia wanawake na watoto kufikisha shuhuda za uongo zinazodhalilisha.

Dkt. Gwajima D
 

Serikali inashirikiana na raia wake kila siku ndio maana ipo nchini, isingekuwa inashirikiana na raia bas kusingekuwa na polisi, serikali za mtaa, mahakama n.k huenda hata ofisi zisingekuwepo
 
Huyo alitakiwa achapwe bakora tu

Ova
😂
Kwa hiyo nmahati miliki na mavazi hayo si Ndio? Vazi hili Dini flan vazi lile din flan Loh
Sasa unataka kusema hayo ni mavazi ya dini gani bro au unajizima data kwani makobadh huwa wanavaa waislam tupu lkn mbona wanaitwa wavaa kobadh?
 
Tena hizi online tv zinazoripoti habari za uzushi zinazidi kwa nyingi, TCRA wapo kimya tu. Upotoshaji mwingi unafanyika na hizi online tv ili wapate watazamaji wengi kwa makusudi ya kulipwa na Youtube.
Mitandao hii pia hutumiwa na wanasiasa wanaotafuta kiki,kwani huwa zinatoa taarifa zs upande mmoja wa habari inayombeba mtu aliyewapa wito,na hivyo kutoa habari za kumfurahisha,na kuwaaminisha Watanzania kuwa Kiongozi fulani ndio pekee anafanya kazi.
Na viongozi wanaopenda kiki kufanya kazi na vyombo hivi vya habari.
 
Usitake kunitowa jasho la meno bro ila ukweli unaujuwa asili ya vazi la baibui na mtandio ni la dini gani
Sasa Hapo yupo kanisani Au msikitini?
Kwanza sidhani hata kama ile interview yake ya upotoshaji kuwa analala na joka uliitazama alijitambulisha kuwa jina lake ni latifa kumbe ni veronica kwahiyo katafute wa kubishana nae bro sio mimi
 
Usipaniki dogo,ukute hata hayo majina sio yake.

Wewe una shida flan kichwani usikalili kwamba mavazi flan ni ya Dini flan umeelewa.

Sisi kanisani tunapiga suti,haaanishi mtu akivaa Suti ni mkristo Sawa.
 
Usipaniki dogo,ukute hata hayo majina sio yake.

Wewe una shida flan kichwani usikalili kwama mavazi flan ni ya Dini flan umeelewa.

Sisi kanisani tunapiga suti,haaanishi mtu alivaa Suti ni mkristo Sawa.
Mwenyeshida kichwani huwa hajioni😂 sasa hapa unazungumziwa ww kuvaa suti kanisani au ww ukitaka vaa hata singlend na boksa hizo ni shida zako hazinihusu😊 hapa anazungumziwa veronica aliyejiita latifa na akavaa uhusika wa latifa😂
 
Usipaniki dogo,ukute hata hayo majina sio yake.

Wewe una shida flan kichwani usikalili kwama mavazi flan ni ya Dini flan umeelewa.

Sisi kanisani tunapiga suti,haaanishi mtu alivaa Suti ni mkristo Sawa.
Kisha me siwezi kupanic kwa mambo ya kipumbavu ila ww mwanaume ulieshindwa kujishkilia na ukaja kunijibu kuwa mavazi tumejimilikisha utadhani nilikwambi mimi ni muislam😂ndio nikakujibu kuwa sio kujimilikisha ni tayari alijitambulisha kwa jina la kislam mpaka ubini ulikuwa wa kiislam kumbe ni mkristo sasa hapo kipi hujaelewa jombi
 
Usipaniki dogo,ukute hata hayo majina sio yake.

Wewe una shida flan kichwani usikalili kwama mavazi flan ni ya Dini flan umeelewa.

Sisi kanisani tunapiga suti,haaanishi mtu alivaa Suti ni mkristo Sawa.
Na kama mavazi hayo si ya waislam basi kama unawatoto wa kike kawanunulie hijab na mabaibui jpili muende zenu kanisani kama hawatokushangaa😂
 
Na yule anayejiita Dr. Sure wamwite atueleze pesa za Majini zinapatikanaje ili nasi tupate mchongo wa pesa bila jasho.
Yule ni tapeli na muongo na ni mganga wa kienyeji kama waganga wengine tu sawa na dokta mwaka kuuza dawa za nguvu za kiume halafu Mke kamkimbia na analalamika jamaa shughuli ya kichovu
 
Kuomba msamaha hakubadilishi ukweli au uhalisia wa jambo. Ni kwamba Serikali bila kuthibitisha au la inawalazimisha waombe radhi, kutokana na kutofautiana kimtazamo na waziri, wala sio Serikali. Wanaomba msamaha kumridhisha waziri!
 
Na yule anayejiita Dr. Sure wamwite atueleze pesa za Majini zinapatikanaje ili nasi tupate mchongo wa pesa bila jasho.
Yule mganga njaa kama mimi tu ila mie dalali ye mwenzangu tapeli kwa kivuli cha uislam,,, hana tofauti na manyaunyau, kamchape, lambalamba etc. Ikiwa huyu Veronica kakili utapeli wake basi ni zamu ya yule anaejiita dokta sule nae atuthibitishie hayo majini yanaletaje ela,, mpumbavu tu yule njaa zake zinafanya auchafue uislam..
 
Binti anaitwa Veronica Bernard Anton lakini amevaa kama bint wa kiislam yote hiyo kuchafua waislam waonekane wanapenda kujishirikisha na ushirikina😂 ila hii nchi inavichaa sanaa

Na wewe unajiita mscleopatra unaongea kama muislamu ili ionekane ni Mkristo usiye na akili. Kuna mavazi ya kiislam kweli duniani? Una elimu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…