Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mavazi tu ata jina pia halikuwa ilo alilosema apo kwenye iyo video anayoomba radhiYale yale mtu akivaa kanzu mnasema kavaa kiuslamu. Hayo si mavazi ya Kiislamu.
Wanajua majini yako related na nini ndio maana kafanya hivyo.Sio mavazi tu ata jina pia halikuwa ilo alilosema apo kwenye iyo video anayoomba radhi
Nakupa maua yako waziri wangu, tuendelee kuelimisha jamii yetu kwa maendeleo ya Taifa letu kwa kukemea matendo maovu yasiyokubalika ndani ya jamii.Ahsante Sana, naomba tu Kila anayeoona uongo uongo fulani kwenye Kila link basi tupeane ushirikiano. Maana naweza nikawa kuna link inaendelea mahali na mimi sijaiona na watu wanapotea.
Mwandikie sasa tena haraka 😅😅😅Ahsantee!! Ntakuandikia ktk uzi.
TANZANIA ni chaneli ya comedi huko mbinguni!!Ni upuuzi wa hali ya juu kurekodi habari za uongo kisha kuweka mtandaoni (eti anagongwa na nyoka)! Kiaje kiaje?
Hakika ,maana Kuna matukio yanafanyika hadi unabakia kujiuliza na kushangaaTANZANIA ni chaneli ya comedi huko mbinguni!!
Tatizo ni kuwa wananchi wengi ndio wanapenda kuyasikia hayo!! Na kuyaamini, mfano kwa sasa kuna mhubiri mmoja yupo buza anajiita kiboko ya wachawi, mtu anapiga simu(aliowapanga) anaambiwa hadi rangi ya chupi aliyovaa, anakubali ni kweli baba!! Ili kuwaaminisha wengine na ndio habari ya mjini sasaHakika ,maana Kuna matukio yanafanyika hadi unabakia kujiuliza na kushangaa
Imani za kidini nazo ni shida sanaTatizo ni kuwa wananchi wengi ndio wanapenda kuyasikia hayo!! Na kuyaamini, mfano kwa sasa kuna mhubiri mmoja yupo buza anajiita kiboko ya wachawi, mtu anapiga simu(aliowapanga) anaambiwa hadi rangi ya chupi aliyovaa, anakubali ni kweli baba!! Ili kuwaaminisha wengine na ndio habari ya mjini sasa
Ndugu zangu, tusijadili Imani wala Dini. Huyu hajavunja sheria Sababu ya Dini, ni yeye tu kavunja tu kwa kutoelewa au makusudi tu na tabia zake. Kama ni mavazi kama hayo hata mimi navaa mbona. Tuendelee na hoja za kukomesha tabia mbaya kwenye jamii yetu. Haya ya Imani tusiyahusishe kabisa kwani, watenda mabaya mbona wapo kila tabaka la kijamii? Tukwepe mijadala ya mwelekeo wa kiimani kwenye kujadili hoja za msingi za maendeleo na ustawi wa jamii. ShukraniYale yale mtu akivaa kanzu mnasema kavaa kiuslamu. Hayo si mavazi ya Kiislamu.
Wazirii Gwajima, kuna jambo nataka likufikie, haijalishi utalikubali au utalikataa, ila lazima nikufikishie.
Ili kupata watazamaji..kuna ile story za leo nayo iangaliweShuhuda za kutunga
Ndugu zangu, tusijadili Imani wala Dini. Huyu hajavunja sheria Sababu ya Dini, ni yeye tu kavunja tu kwa kutoelewa au makusudi tu na tabia zake. Kama ni mavazi kama hayo hata mimi navaa mbona. Tuendelee na hoja za kukomesha tabia mbaya kwenye jamii yetu. Haya ya Imani tusiyahusishe kabisa kwani, watenda mabaya mbona wapo kila tabaka la kijamii? Tukwepe mijadala ya mwelekeo wa kiimani kwenye kujadili hoja za msingi za maendeleo na ustawi wa jamii. ShukraniImani za kidini nazo ni shida sana
Watu kibao waliamini 100%Kama utakuwa uliamini ile story ya nyoka,wewe ni mmoja wa Watanzania wanaochangia umasikini na unatakiwa ufe kwani hauna faida yoyote hapa duniani.
Ni bora kukawa na sheria kali dhidi ya wakora na wapotoshaji wa aina hii. TCRA isiache kuzishughulikia hizi online TV za kipuuzi zinazochipuka kila siku. Hongera kwa kazi nzuri, ila ni lazima sekta nyingine zikusaidie katika juhudi zako.Ndugu zangu, tusijadili Imani wala Dini. Huyu hajavunja sheria Sababu ya Dini, ni yeye tu kavunja tu kwa kutoelewa au makusudi tu na tabia zake. Kama ni mavazi kama hayo hata mimi navaa mbona. Tuendelee na hoja za kukomesha tabia mbaya kwenye jamii yetu. Haya ya Imani tusiyahusishe kabisa kwani, watenda mabaya mbona wapo kila tabaka la kijamii? Tukwepe mijadala ya mwelekeo wa kiimani kwenye kujadili hoja za msingi za maendeleo na ustawi wa jamii. Shukrani
Siku hizi hata wakristo wanayavaa sana tu, ni kama fasheni tu kwa baadhi ya watu.Usitake kunitowa jasho la meno bro ila ukweli unaujuwa asili ya vazi la baibui na mtandio ni la dini gani