Dkt. Hamis Kigwangalla: Onyo la mwisho kwa mnaomtuma Kigogo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Hiki ndicho alichoandika Mbunge Dr. Hamisi Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter:

ONYO LA MWISHO KWA MNAOMTUMA KIGOGO: iko hivi; ninawajua, na nyie ni rafiki zangu, tuendelee kuheshimiana, ninawaambia najua mambo yenu mengi; msicheze na tope, mtachafua suti zenu sasa hivi! Mnanijua vizuri, sijifichagi, napiganaga wazi wazi! Jipimeni, mnaweza vita na mimi? #HK

 
Kama anawajua si awsiliane nao moja kwa moja,sasa huko alikokimbilia ndio kuna ufumbuzi,huyu muongo hawajui ni kama anarusha jiwe kichakani ili aone kama kuna ndezi au ngiri kwenye kichaka. Shida yote ni madaraka,King alilewa na pori hadi pori ,sasa nae aendelee tu kuchangia TOZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…