Dkt. Hamis Kigwangalla: Onyo la mwisho kwa mnaomtuma Kigogo

Dkt. Hamis Kigwangalla: Onyo la mwisho kwa mnaomtuma Kigogo

Njaa imeanza kuuma anasaka uchawa. Huwa hawana ujanja wa kuishi nje ya mshahara hawa
 
Bora apigwe pige kelele Ili aonekane wapanga teuzi wamkumbuke
 
Kama vipi wazipige kavukavu najitolea kuwa promoter taarabu hazitakiwi Umenielewa bwana hamisi
 
Huyu Kigwa naye anatafuta kiki za kitoto tu,Kigogo siku nyingi alisha-compromise na watawala yeye anasema mgomvi wake alikuwa jiwe tu kwa vile alimvunjia nyumba zake mbili hapo Kimara. Kigwa anaona hajasikika siku nyingi anataka atajwe tajwe kama kuna lolote Mama amkumbuke.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hiki ndicho alichoandika Mbunge Dr. Hamisi Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter:

ONYO LA MWISHO KWA MNAOMTUMA KIGOGO: iko hivi; ninawajua, na nyie ni rafiki zangu, tuendelee kuheshimiana, ninawaambia najua mambo yenu mengi; msicheze na tope, mtachafua suti zenu sasa hivi! Mnanijua vizuri, sijifichagi, napiganaga wazi wazi! Jipimeni, mnaweza vita na mimi? #HK

MUOGA HUYU!mtu jasiri haongei zaidi ya vitendo tuuu!
 
Madhara ya kuing'ong'ang'ong'a chupa ya asali, pasipo na uwezo wa kuilamba...
 
Hiki ndicho alichoandika Mbunge Dr. Hamisi Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter:

ONYO LA MWISHO KWA MNAOMTUMA KIGOGO: iko hivi; ninawajua, na nyie ni rafiki zangu, tuendelee kuheshimiana, ninawaambia najua mambo yenu mengi; msicheze na tope, mtachafua suti zenu sasa hivi! Mnanijua vizuri, sijifichagi, napiganaga wazi wazi! Jipimeni, mnaweza vita na mimi? #HK

Kigogo==Mwezi wa kwanza wa kila mwaka
 
Hiki ndicho alichoandika Mbunge Dr. Hamisi Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter:

ONYO LA MWISHO KWA MNAOMTUMA KIGOGO: iko hivi; ninawajua, na nyie ni rafiki zangu, tuendelee kuheshimiana, ninawaambia najua mambo yenu mengi; msicheze na tope, mtachafua suti zenu sasa hivi! Mnanijua vizuri, sijifichagi, napiganaga wazi wazi! Jipimeni, mnaweza vita na mimi? #HK

Eti huyu naye aliwahi kuwa Waziri kwenye ile serikali, hakika kulikuwa na watu wa hov..., au basi
 
Huyu nae kiongozi eti? We have a long way to go..!! Si awataje mchezo uishe?
 
Historia ya Kigogo katika nchi hii inafurahisha sana, kuna dola ilimtafuta mpaka ikanyoosha mikono.

Jamaa yangu "Ninja"akakutana na vijana wa kiromania wakampiga akatumbuliwa na uwaziri, yule mjita mpaka kawa balozi bado anamsaka kigogo tu, Sasa wewe Kingwax huna hata kituo cha polisi unataka kupambana na kigogo.

Endelea na mambo yako ya Simba na Mo-Dewji haya mengine yako juu yako sana, mbaya zaidi umesahau hao ndio waliokupa Ubunge enzi za Serilii pale Nzega wanakujua vizuri kama mwenzio yule Governor wa jiji walianza kumpaa uDC akaota mapembe na kuwageuka.
 
Back
Top Bottom