Dkt. Hamis Kigwangalla: Onyo la mwisho kwa mnaomtuma Kigogo

mwambiye sisi wengine tunapambana na hali zetu ngumu hatuna muda wa kumfatilia yeye aliyeshiba.Wacha waparuane wenyewe.
 
We
Nda
Asebezwe WENDA anayo hoja
 
Katika upambanaji bila kuogopa mtu, Dr. Kigwa ni mpambanaji jasiri, shupavu na shujaa!, mimi nilimshuhudia Nzega.
Kuna siku aliitisha maandamano ya amani ya wana Nzega kudai haki zao za madini toka mgodini. CCM ikatoa taarifa kuwa chama hakiyatambui maandamano hayo na hakuna mwana CCM kushiriki!. Mimi nika comment humu Kigwangalla aitwa na kamati ya maadili na maandamano yake kusitishwa na CCM, yeye asisitiza yapo!! kuwa hakuna maandamano!, kilichokuja kutokea ni hiki Kwako Ndg. Pasco: Maandamano Yamefanyika Bila Idhini ya Katibu wa Chama!
P
 
Ww nae ni poyoyo wa mbowe, kila threads unareply huo ujinga wako uliotumwa
Wewe! Ndio poyoyo usiyeelewa nchi inatakiwa ifike wapi siyo wewe na tumbo lako mfike wapi! So selfish... Alichokisema ni kwa maslahi mapana ya taifa na siyo matumbo ya watu wa chache ndo walambe Asali..
#katibaMpya..
 
Kilichofuata ITV 👇👇
 
Mbona analeta mikwara, kama ameona wenzake wameshamuanza, yeye awamalize, hakuna sababu ya onyo, huyu ni muoga tu, anajua bado anatamani teuzi hawezi kuropoka hovyo.
Wanajuana! Kuna cream ya vijana cycles na mishe zao wanajuana vizuri ndio maana wanachimbana mikwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…