Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Umeongea pumba kabisa, fikiria halafu urudi tena
 
Hawa wazungu ki ukweli nashindwa kuwaelewa juu ya promotion ya uchafu huu, nini malengo yao?, wanajaribu kutengenezea future ya aina gani?
Mzeee hii kitu ipo deep kuliko unavyodhani mkuuu

Hatima au lengo kuuu ni

1. Kupunguza idadi ya watu duniani maana mtoto hawezi patikana kwenye mapenzi ya jinsia 1
Hapa rasilimali zitatumiwa kiurahisi maana watu hawatakuwa wengi duniani

2. Kuzima sauti ya wanaume duniani maana shoga hawezi kuwa na sauti kama ya simba au misimamo kama dume la haja hivyo ni rahisi kucontrol dunia yote ikiwa hivyo

😞😞😞😞
 
Acha upumbavu wewe! Mwakyembe ni mtu wa mchezo mchezo wa kumfananisha na hao walala njaa wasio na lolote ?! Hana shida ya Kiki huyo, maisha anayo na yenye mafanikio yaliyotukuka! Anasema ukweli kama mzalendo na mzazi mwenye uchungu!

Hapo kwenye mzazi mwenye uchungu nakubaliana na wewe ila swala la uzalendo hapana hasa kwa mtu kama Mwakyembe anajulikana ni mtu wa fursa tu

Anatafuta kiki ya kutokea awamu ya mama
 
Wakaja kufuatia wengine wengine ila hawakuvuma kama yule buibui asee.
Ila pale Travetinne na Lango Jiji pamechangia pakubwa sana kuwaharibu vijana.
Mimi mpaka wa leo nikimuona kijana anasikiliza Taarabu namuangalia mara mbili mbili.
Lango la jiji kusema ukweli ni sodoma na gomora pale.
Kwasasa sijui hali ikoje,
Enzi zetu hujui mwanaume ni yupi mwanamke yupi.
Unaingia chooni unakuta kijana kapindwa anapigwa kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…