Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Mama anaishi kwa kutegemea misaada, huwezi kusikia anasema neno. Hata makamu wa rais anaishia kulialia makanisani tu huko kama muumini mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea pumba kabisa, fikiria halafu urudi tenaWatu wengine ni wazima ila hawana akili.
Wapi mtu amekuja mshikia mtu bunduki kuwa lazima muwe mashoga?
Ushoga upo ndani ya familia zenu, makanisani, misikitini, mitaani, jaribuni kwanza kuondoa hiyo hali kabla hajamalalamikia mtu.
Mashoga mnawalea wenyewe, wengine nyinyi ndiyo mwawafundisha afu mnawalaumu watu wasiohusika
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Noma sana nitatunza Siri ya ......na wana muongozo kabisa ambao upo Wizara ya Afya
Trillion 11 wamekuja kuzimwaga kwa mpigo mama ataongea nini? Zaidi zaidi hana mtoto anaefanywa au anaefanya hio ufirauni basi wengine mtajua wenyeweMama anaishi kwa kutegemea misaada, huwezi kusikia anasema neno. Hata makamu wa rais anaishia kulialia makanisani tu huko kama muumini mwingine
Mzeee hii kitu ipo deep kuliko unavyodhani mkuuuHawa wazungu ki ukweli nashindwa kuwaelewa juu ya promotion ya uchafu huu, nini malengo yao?, wanajaribu kutengenezea future ya aina gani?
J melody huyu anayependwa na warembo au j melody yupi huyo 🤔Nikasikia Jux sijui nikasikia J Melody, nikasikia Kamikaze nikasema duuuh Mwakyembe Mzee Alson emu tupe hio list na sisi tuijue vizuri
Daaah ama kweli sio kila kingaacho ni dhahabu 😔😢.cocastic anajua muulize akwambie kila kitu,
Wamewekwa wazi tayari kwani mkuu?Bagamoyo mbafikiwa Sasa nilisema humu kuwa kuna siku mtawekwa wazi nyie wajaa laana.
Wengine wapo humu jf na kampeni ya kataa ndoa.
Mashoga wafikiwe popote na watokomezwe.
Acha upumbavu wewe! Mwakyembe ni mtu wa mchezo mchezo wa kumfananisha na hao walala njaa wasio na lolote ?! Hana shida ya Kiki huyo, maisha anayo na yenye mafanikio yaliyotukuka! Anasema ukweli kama mzalendo na mzazi mwenye uchungu!
Lango la jiji kusema ukweli ni sodoma na gomora pale.Wakaja kufuatia wengine wengine ila hawakuvuma kama yule buibui asee.
Ila pale Travetinne na Lango Jiji pamechangia pakubwa sana kuwaharibu vijana.
Mimi mpaka wa leo nikimuona kijana anasikiliza Taarabu namuangalia mara mbili mbili.
Ajabu hii barua iliiandikwa kipindi Cha mwendazake [emoji3061]Sasa hili tamko la serikali na kama kawaida Habarimaelezo hawakupata kulipinga kuwa sio kweli linamqanisha nini kama sio tayari serikali hii Kopakopa ilisha Ingia mtegoni?View attachment 2568112
Nitatunza Siri ya ...... Naapa kwamba kwamwe sitotoa Siri ya ........ Ee Mnyaazi Mungu nisaidieSasa hili tamko la serikali na kama kawaida Habarimaelezo hawakupata kulipinga kuwa sio kweli linamqanisha nini kama sio tayari serikali hii Kopakopa ilisha Ingia mtegoni?View attachment 2568112
Huyu Mwakyembe bado yupo kwenye anga za Siasa? Ni leftover kwa sasa!
Anatafuta kiki kama zile za Dudubaya baada ya kuona amekuwa irrelevant
Mwakyembe sio wa kumwamini anataka kurudi siasani.
Tuanzie kwenye social media, tusikubali wanasiasa wakatuongoza kwenye Vita ya mashoga watatupoteza.
Nonsense! Unafikiri watu tunafanana katika kutumia akili zetu?Kawajuaje