Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Watu wengine ni wazima ila hawana akili.
Wapi mtu amekuja mshikia mtu bunduki kuwa lazima muwe mashoga?

Ushoga upo ndani ya familia zenu, makanisani, misikitini, mitaani, jaribuni kwanza kuondoa hiyo hali kabla hajamalalamikia mtu.

Mashoga mnawalea wenyewe, wengine nyinyi ndiyo mwawafundisha afu mnawalaumu watu wasiohusika

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Umeongea pumba kabisa, fikiria halafu urudi tena
 
Hawa wazungu ki ukweli nashindwa kuwaelewa juu ya promotion ya uchafu huu, nini malengo yao?, wanajaribu kutengenezea future ya aina gani?
Mzeee hii kitu ipo deep kuliko unavyodhani mkuuu

Hatima au lengo kuuu ni

1. Kupunguza idadi ya watu duniani maana mtoto hawezi patikana kwenye mapenzi ya jinsia 1
Hapa rasilimali zitatumiwa kiurahisi maana watu hawatakuwa wengi duniani

2. Kuzima sauti ya wanaume duniani maana shoga hawezi kuwa na sauti kama ya simba au misimamo kama dume la haja hivyo ni rahisi kucontrol dunia yote ikiwa hivyo

😞😞😞😞
 
Acha upumbavu wewe! Mwakyembe ni mtu wa mchezo mchezo wa kumfananisha na hao walala njaa wasio na lolote ?! Hana shida ya Kiki huyo, maisha anayo na yenye mafanikio yaliyotukuka! Anasema ukweli kama mzalendo na mzazi mwenye uchungu!

Hapo kwenye mzazi mwenye uchungu nakubaliana na wewe ila swala la uzalendo hapana hasa kwa mtu kama Mwakyembe anajulikana ni mtu wa fursa tu

Anatafuta kiki ya kutokea awamu ya mama
 
Wakaja kufuatia wengine wengine ila hawakuvuma kama yule buibui asee.
Ila pale Travetinne na Lango Jiji pamechangia pakubwa sana kuwaharibu vijana.
Mimi mpaka wa leo nikimuona kijana anasikiliza Taarabu namuangalia mara mbili mbili.
Lango la jiji kusema ukweli ni sodoma na gomora pale.
Kwasasa sijui hali ikoje,
Enzi zetu hujui mwanaume ni yupi mwanamke yupi.
Unaingia chooni unakuta kijana kapindwa anapigwa kitu
 
Back
Top Bottom