Umesema anachosema mwakyembe ni cha kweliDaily niko dillema na sitaacha kuwa dilema mpaka siku nikijibiwa na hii serikali .
Ndugu nafanya kazi sehemu ambayo nilihamia nilikuta kuna taasisi binafsi inayokuja hapa kuwafariji hawa wakuitwa mashoga wanapewa hela na zawadi .
Wa miaka hio wote walishapukutika na ngomaKumbe haya mambo ni magumu kwa kiwango hiki? Nakumbuka miaka ya 90's alikuwako shoga mmoja maarufu sana akiitwa Aunt Kessy.
ni mbobezi wa utafiti huyo na hana PHD ya mchongo.Kawajuaje
Ni cheap politics anazofanya ati atawapa serikali majina ya wahusika ilihali anajua fika kuwa serikali inajua kila kitu .Umesema anachosema mwakyembe ni cha kweli
Umesema taasisi zipo kweli
Umesema serikali inatambua hilo suala.
Sasa ndugu mwakyembe kosa lake ni lipi hapo na utamuanika katika lipi hasa lililokukera?
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Itakua Teuzi tuu...sijamuelewa mwakyembe,nini hasa anatafuta?
Hatari! Kwanza sio ant ezekiel kama unavyo fikiri! Ngoja nikakichimbe, najaEmu type dodoso hicho kitabu kinaelezea nini kuhusu huyo ANT EZEKIEL alikuakuaje akafanyafanyaje mpaka akamuandikia kitabu nini kisa na chanzo?
Watu hawaelewi pale tunaposema anafanya cheap politics kurudi ulingoni tunaonekana ni mashogaNaungu mkomo....mimi nimtu wa Ndandalo hapa Kyela...ila tangu Harrison apigwe chini anafuta njia ya kurudi kwenye ulingo ila Kwa Kyela asahau labda huko Mbwani.
Mazuzu watamuamini huyu propagandist MWAKICHUNGWAHapo kwenye mzazi mwenye uchungu nakubaliana na wewe ila swala la uzalendo hapana hasa kwa mtu kama Mwakyembe anajulikana ni mtu wa fursa tu
Anatafuta kiki ya kutokea awamu ya mama
Leta ayaHaikuwa kuongopeana. Hili suala lipo sana Zanzibar, Tanga, Lamu, Mombasa na Dsm. Kwa sasa limezagaa. Na waarabu wana hii michezo sana sema wao huwa wanapinga hadharani ila wanatenda gizani. Waislamu mimi sitaki wazungumzia.
Kwa Marekani wao hawana Dini ya Taifa na wanachofanya wazungu ni kuondoa unafiki. Wakati sisi tunapiga sana kelele kuwa hatuli kitimoto ila wakati wa mfungo ukiuliza wauzaji watakwambia hasara zao.
Haikuwa kuongopeana. Hili suala lipo sana Zanzibar, Tanga, Lamu, Mombasa na Dsm. Kwa sasa limezagaa. Na waarabu wana hii michezo sana sema wao huwa wanapinga hadharani ila wanatenda gizani. Waislamu mimi sitaki wazungumzia.
Kwa Marekani wao hawana Dini ya Taifa na wanachofanya wazungu ni kuondoa unafiki. Wakati sisi tunapiga sana kelele kuwa hatuli kitimoto ila wakati wa mfungo ukiuliza wauzaji watakwambia hasara zao.
Lete ayaHaikuwa kuongopeana. Hili suala lipo sana Zanzibar, Tanga, Lamu, Mombasa na Dsm. Kwa sasa limezagaa. Na waarabu wana hii michezo sana sema wao huwa wanapinga hadharani ila wanatenda gizani. Waislamu mimi sitaki wazungumzia.
Kwa Marekani wao hawana Dini ya Taifa na wanachofanya wazungu ni kuondoa unafiki. Wakati sisi tunapiga sana kelele kuwa hatuli kitimoto ila wakati wa mfungo ukiuliza wauzaji watakwambia hasara zao.
Wataishi vipi muda mrefu wakati mnawazonga zonga kila pahala kwa masimango?Hvi kwanini mashoga hawaishi muda mrefu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hayo maadili yanalindwa kwenye ushoga tu,mbona ufisadi,uzinzi,uhuni n.k hayo maadili hamyalindi?
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]Swali ni je mtaweza kuendesha nchi bila usa na ulaya,ambapo zaidi ya 40% ya bajeti wanawapa msaada,achilia mbali mikopo na ufadhili mbalimbali,chanjo za watoto zinazotolewa bure mtaweza zilipia wakiacha kutufadhili?
Wengi hawelewi hoja za hao usa au ulaya,hao jamaa wanachotaka ni kuacha unafiki mtu kaamua kutinduliwa mkundugu wake acha atinduliwe wewe ina kuuma nini hasa?yani wanataka kila mtu awe free kwa sexual affiliations zake sio kusimangwa wala kuuwawa kisa.
Anatafuta KIKI KWA PIKIPIKI.sijamuelewa mwakyembe,nini hasa anatafuta?
tunapambana kulinda mila na tamaduni zetu.
Ushoga haujawahi kuwa ni kitu cha kawaida duniani pamoja na kwamba upo toka karne hizo, hata huko Marekani ushoga haujawa kuwa sawa na mapenzi ya jinsia tofauti ya mwanaume na mwanamke. Afrika mashoga wapo pia na hufanya huo ushoga pamoja na kwamba jamii yetu inalichukulia hilo tendo kuwa ni kinyume na maadili yetu.Swali ni je mtaweza kuendesha nchi bila usa na ulaya,ambapo zaidi ya 40% ya bajeti wanawapa msaada,achilia mbali mikopo na ufadhili mbalimbali,chanjo za watoto zinazotolewa bure mtaweza zilipia wakiacha kutufadhili?
Wengi hawelewi hoja za hao usa au ulaya,hao jamaa wanachotaka ni kuacha unafiki mtu kaamua kutinduliwa mkundugu wake acha atinduliwe wewe ina kuuma nini hasa?yani wanataka kila mtu awe free kwa sexual affiliations zake sio kusimangwa wala kuuwawa kisa.
Hata ile list of shame serikali ilikua inawajuaNi cheap politics anazofanya ati atawapa serikali majina ya wahusika ilihali anajua fika kuwa serikali inajua kila kitu .