Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Usidhani watu hawafahamiani hapa ila tu tunaheshimu kanuni za Forum hii.Unaweza dhania unamfahmu sana huyo unaedhania una mu expose kumbe kuna wanaomfahamu vizuri na wakawa wanakushangaa unavyopuyanga na details za uwongo za muhusika.
Wewe pigana hiyo vita ya ushoga na upo sahihi kabisa lakini haya ya kuvunja sheria za JF hapana,punguza speed[emoji5]
Ok ngoja nipuunguze ukali wa data kidogo naanza kufunga codes ila detail za muhusika ni za ukweli kabisa nina real proof shukran 💯💯
 
Haijalishi unapambana na adui kwa kutumia silaa gani but la msingi ni kuishinda vita.....muacheni Mwakyembe aipigane vita.
 
Wewe nawe ni wq upinde? Inamaana tatizo mtaani kwako hujaliona? Badala umsifie mwanaume katoka hadharani kulaani wewe unamuaattack!? Una akili wewe?
bado hujamuelewa jamaa huenda iq haikiz vigezo
 
Tumeshangaa anaposema ni mtandao mkubwa wenye viongozi kuanzia ngazi ya taifa, mkoa na wilaya, na anasema hayo mashoga yapo kitambo sana tu na yanatuchora
inakuaje yeye kama sehem ya serikali asingewasilisha kweny idara husika badala ya kuja public
 
Inawezekana kabisa kuwa mheshimiwa ni kamanda mzuri, mmoja kati ya wazee wachache ambao wamebakia na jamii inawahitaji sana ili ipone lakini mzee tunapoendelea na vita hii takatifu tujaribu kuangalia na wahusika wa uovu huo waliojificha na wanajifanya kama hawapo vile huenda tukiwatambua tu tunaweza kuongeza maarifa ya nini kifanyike.
Maana kuna mtu amepokea posa za wazungu hao, ndio maana wanakuja kwa ujasiri kudai wake zao, je mjomba kapokea posa za kina nani, ili warudishiwe pesa zao,
 
Kuna njia mbili tu za kutoka kwenye hili tatizo.

1.Raia kuhakikisha wanaua kila mwenye kuonyesa usaliti wa jinsia yake
2.Kuhakikisha njia ya kwanza inafanya kazi kwa njia yoyote ile (tumia kisu, panga,shoka, moto, ngumi, mitama, mawe,makofi,kung'ata )
Hahahaa Eti kung'ata... [emoji1]
 
siungi mkono ushoga, njia unayependekeza kupambana nayo ni ya kishenzi na ni murdering. Huwezi kuua binadamu wenzako kisa ni mashoga. Tafuta njia nyingine isiyo ya kijinai
Ukiona mtu anawaza kuua ua ujue yeye kifo kinamlia timing.

Kuna mambo yameua watu na yanaua watu Tangu Uhuru. Na yamepelekea umaskini, Dhiki, magonjwa, Njaa kukata tamaa. Nani anajua kukadiria Tanzania ingekuwa na Mwonekano gani kama hayo yanayodidimiza Taifa yasingekuwepo?

Huenda ingekuwa nchi ya kwanza kwa Uchumi na miundombinu Bora Africa.

Lakin hakuna mwenye upeo wa kufikiri haswa vijana ispokuwa wataonyesha hisia za nguvu kwenye mambo binafsi ya watu. Hii inastaajabisha.
 
Bongo,ufisadi,rushwa,uzinzi,ulevi vimekua vitu vya kawaida hata huo ushoga umeanza na utakua kitu cha kawaida tu,
Nimekwambia duniani kote hadi huko Marekani na Ulaya ushoga haujawa kitu cha kawaida sasa iweje ufikiri Bongo ndio itakuwa kitu cha kawaida? Na ushoga haujaanza juzi hapa duniani upo toka karne hizo.
 
Mtakapojua lengo kuu la hizi promo za ushoga mnaojifanya kuzipinga, mtakua msha chelewa.

Kaeni kwenye vimbwetaa vya wanafunzi wa chuo, jinsi wanavyohamasika kuingia huko, hata wasiojua wanajisemea "tukashuhudie kwann unazungumzwa sana" wanaishia kugeuzana zamu zamu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji56][emoji56][emoji56] umenifikirisha [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mtakapojua lengo kuu la hizi promo za ushoga mnaojifanya kuzipinga, mtakua msha chelewa.

Kaeni kwenye vimbwetaa vya wanafunzi wa chuo, jinsi wanavyohamasika kuingia huko, hata wasiojua wanajisemea "tukashuhudie kwann unazungumzwa sana" wanaishia kugeuzana zamu zamu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe.
Huyu mwakyembe anachofanya ni kazi ile ile ya KUTUMWA KU CREATE AWARENESS. ILO HATA WALE AMBAO HAWAKUA WANAJUA AU KUA NA TIME NA HIZI HABAR WAANZE KUJUMUIKA NA HATIMAE KUJIUNGA.
Mwakyembe anazid kumwaga oetrol kwenye moto anachochea kuni .

Imagine anazitaja taasisi zote hizo anazodai zina jihusisha na mambo haya na ANATAJA MPAKA DATA ZA IDADI YA HAO MASHOGA WAKIOTENGENEZWA .KAZITOA WAP KAMA SIO KAPEWA NA WENYE AGE DA YAO ILI KUONYESHA HILI NI SUALA AMBALO LIPO?????

SHENZI KABISAA MWAKYEMBE FIRAUNI WEWE
 
Back
Top Bottom