Awiaman ooza
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 512
- 866
Ok ngoja nipuunguze ukali wa data kidogo naanza kufunga codes ila detail za muhusika ni za ukweli kabisa nina real proof shukran 💯💯Usidhani watu hawafahamiani hapa ila tu tunaheshimu kanuni za Forum hii.Unaweza dhania unamfahmu sana huyo unaedhania una mu expose kumbe kuna wanaomfahamu vizuri na wakawa wanakushangaa unavyopuyanga na details za uwongo za muhusika.
Wewe pigana hiyo vita ya ushoga na upo sahihi kabisa lakini haya ya kuvunja sheria za JF hapana,punguza speed[emoji5]