Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, kama umesimama fullNdugu zangu,hivi uume unaweza kuvunjwa na ukavunjika maana nijuavyo mm.Uume ni masponji tu.Mssada wa kitatbibu tafadhqli
Pole sana ndugu mwandishi. ONE MAN DOWN. I REPEAT, ONE MAN DOWN[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Nilimsikiliza Mwakyembe wakati anatoa hoja kuhusu Ushoga na Usagaji.
Ni ukweli kuwa Ushoga na usagaji ni matendo machafu mbele ya jamii na mbele za mungu. Hilo halina ubishi labda uwe mwendawazimu.
Uwasilishaji wa Mwakyembe ulikuwa wa kisiasa zaidi kwa lengo la kupata umaarufu wa kisiasa (Cheap politics). Mwakyembe alikuwa waziri mwandamizi kwa miaka mingi.
Kitendo cha kuihusisha serikali na ushoga na usagaji na kuitolea shutuma nzito kuwa wizara ya afya ina engineer na kwamba kila kitu kinajulikana kwa miaka mingi tangu yeye akiwa waziri mwandamizi ni upotoshaji wa wazi wenye kutafuta umaarufu tu.
Mbona siku zote hizo mwekyembe alikuwa kimya huku akijua ushoga na usagaji ni jambo baya. Kwa nini hakuwahi kusema hata bungeni? au kujiuzuru uwaziri kuonyesha kuwa anapinga serikali ku support mashoga na wasagaji?
Kuituhumu Marekani kuwa inatuletea ushoga na kwamba hataki pesa za wamerekani na nchi zingine zilizo na sheria zinazolinda haki za mashoga na wasagaji ni kuichonganisha serikali yetu na marekani ili ku gain cheap politics.
Marekani na nchi zingine zinazotupa misaada (Grants) hawajawahi kutuwekea sharti la kukubali ushoga ndo watupatie misaada.
Kuanza siasa za kuituhumu marekali kuwa inatuletea ushoga bila hata ushahidi na kwenda mbali zaidi eti hatutaki hata pesa zao ni ulimbukeni na ujinga uliokithiri. Nitatoa mifano michache ili hoja yangu ieleweke vyema.
Marekani na nchi zingine ni washirika wetu wakubwa tena wanaotusaidia mambo makubwa kwa sekta muhimu inayogusa maisha ya watanzania wengi.
1. USA inafadhiri mifuko (Funding) lukuki kama Grants. Hatukopi ila tunapewa bure. Nitataja miwili tu mikubwa ambayo ni Global Fund na President's Emergency Plan for Aids Relief (PEPFAR) kupitia Centers for Disease Control and Prevention (CDC). Mifuko hii ina zaidi ya miaka 15 ipo hapa nchini na imenufaisha watanzania wengi kwenye miradi ya Afya kama Malaria, TB & Leprosy, HIV AIDS na mingine mingi.
2. Miradi niliyoitaja hapo juu watanzania wengi imewagusa mmoja mmoja. Kama nchi tunapata dawa za chanjo kutoka WHO kupitia mfuko wa Global Fund. Tunapata dawa wa kufubaza virusi vya ukimwi kwa vituo vyote Tanzania (CTC centers) kupitia mfuko wa PEPFAR, Tunapata dawa za malaria kupitia mfuko wa Global fund, tunapata Dawa za TB na Ukoma (Leprosy) kupitia Global Fund etc
3. Kuna mfuko mwingine unaitwa Health Basket Funding (HBF), pia hii ni Grant siyo mkopo ambao unachangiwa na World Bank na nchi zaidi ya 15 ikiwemo Canada, Denmark, Ireland, Switzerland, German etc. Bila hawa jamaa Health system ya Tanzania ingekuwa ime collapse. Hawa ndo wanatupa pesa za kununua dawa na vifaa kwa ajili ya hospital zetu nchi nzima. Huu mfuko ni mkombozi kwa watanzania kwa afya zetu.
4. Kama kweli nchi zote nilizozitaja hapo juu 1, 2 & 3 zote zina sheria zinazowalinda mashoga ikiwemo marekani. Mbona hakuna kigezo walichoweka cha kwamba lazima ukubali ushoga kama sharti la kupewa fedha zile ambazo tunazipata kila mwaka kwa zaidi ya miaka 15 sasa kama anavyodai Mwakyembe?
5. Ni ujinga wa kiwango cha juu kwa mtu ambaye amekuwa waziri tena mwandamizi kusema hadhalani eti hatutaki misaada ya marekani kwa sababu wana support ushoga huku akijua kuwa marekani na washirika wengine hawajawahi kutuwekea sharti la kutupa pesa ili tukubali ushoga. Hizo ni cheap politics za Mwakyembe.
Hitimisho
1. Ni ujinga kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa mwamvuli wa ushoga. Mtu kama anaichukia marekani na washirika wengine kwa sababu zake basi aichukie kama yeye lakini siyo nchi. Marekani na nchi nilizozitaja zikikata Grants, Health system ya Tanzania ita collapse sababu ya wanasiasa wachache wanaotaka kuharibu mahusiano na nchi yetu na Marekani
2. Kama nchi tuangalie chanzo cha tatizo la ushoga na usagaji siyo kuhangaika na matokeo. Ushoga na usagaji ni matokeo tu, hao ni waathirika. Tuanze kuhangaika na mabasha na wasagaji siyo waathirika. Tuwekeze kuihamasisha jamii ichukie mabasha na tutunge sheria kali ya ku deal nao ili tukomeshe ushoga.
3. Kumwadhibu muathirika wa ushoga na usagaji ni uwendawazimu. Haina tofauti na kumwadhibu mtu anayevuta madawa ya kulevya ukamwacha muuza dawa za kulevya.
Mkuu hilo jina ni lako? Linatia mashaka sana.Mwakyembe kwanza ni mjane hivyo ana ukiwa, alafu amefilisika kisiasa.
Tangu atumike kumchafua lowasa kipindi kile huyu jamaa namuonaga kama toliet paper tu (hana gharama), ni mnafiki flani ivi.
Nikipiga hesabu jinsi ambavyo hili swala la ushoga limetrend wakati huu hesabu zinakataa kabisa kukubali kuwa ni campaign ya kawaida. Hapana hapa kuna mtu ama/taasisi ametenga pesa ili kutu-keep busy na hii mada yenye ukakasi.
Sasa ni nani/ kina nani? sijui
Kwanini sasahivi? Sijui
Ana/ wanamalengo gani? Sijui
Inawezekana ni kwakua tunadai KATIBA MPYA!
Ama kuizima mikutano ya hadhara iliyo-ondolewa kizuizi haramu
Mimi sijui lakini mimi sio mbuzi wakupelekwapelekwa hovyo!
Ni kizazi kipi hicho cha wazungu kitakuja kuchukua ardhi ya Africa ilhali ardhi yao wenye wameacha ijazwe na wageni kwasababu wao hawataki kuzaa?.Wazungu hawatupendi sana wa-africa ,lengo lao tuishe wote ili waje kukaa bara hili liliobarikiwa kila aina ya resources.
Kwahiyo wanainduce ushoga barani ,wazungu wana plan za muda mrefu sana wanaweza hata kuwa na plan ya miaka hata 50 huko mbele ,kwa mujibu wa hiyo report ya huyo dada ,hadi sasa ninavyoandika ilitakiwa huyo mzungu na wakeze kina noel wapo lupango.
Unaupenda au na wewe ni mwanachama 🙄🙄USHOGA HOYEEEEEEEE!!!!
Mkuu, watu wanataka tufanye mik*ndu ya watu kuwa ndio ajenda ya kitaifa.Mwakyembe kwanza ni mjane hivyo ana ukiwa, alafu amefilisika kisiasa.
Tangu atumike kumchafua lowasa kipindi kile huyu jamaa namuonaga kama toliet paper tu (hana gharama), ni mnafiki flani ivi.
Nikipiga hesabu jinsi ambavyo hili swala la ushoga limetrend wakati huu hesabu zinakataa kabisa kukubali kuwa ni campaign ya kawaida. Hapana hapa kuna mtu ama/taasisi ametenga pesa ili kutu-keep busy na hii mada yenye ukakasi.
Sasa ni nani/ kina nani? sijui
Kwanini sasahivi? Sijui
Ana/ wanamalengo gani? Sijui
Inawezekana ni kwakua tunadai KATIBA MPYA!
Ama kuizima mikutano ya hadhara iliyo-ondolewa kizuizi haramu
Mimi sijui lakini mimi sio mbuzi wakupelekwapelekwa hovyo!
Hata hilo unalotumia linaweza kutia mashaka kwa tafsiri ya mtu mwingine.Mkuu hilo jina ni lako? Linatia mashaka sana.
Shangaa na wee boss, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwakyembe alikuwa waziri wa sheria na anasema toka 2016 anayajua haya mambo...why hakusema wala kuandaa sheria za kupambana nayo??....yaani akae kimyaa kabisa Kwa miaka 7 aje Leo ?
Kuna kitu bado hakiko sawa...
Kwasababu hao wanasiasa wanajua nchi imejaa mambuzi, kazi ni kuwakatia majani, kuwafungia bandani na siku ya sherehe kuwachinja!Wanasiasa wanataka wananchi tuache kuwa na attention na mambo yanayogusa maendeleo ya nchi tuanze kufatilia mikundu ya watu, kibaya zaidi baadhi ya raia nao wamechotwa na huu upepo.
Hii nchi ngumu sana.
Tena mwanachamaa kindaki ndakii.Unaupenda au na wewe ni mwanachama [emoji849][emoji849]
Catherine tetesi ana deal na wadada only...Mdee .nk..Mimi sina mengi,ila ninahofu Mwakyembe asije jichapia yule mwandishi. Wewe Catherine kama umempa Mwakyembe pole yako .Kaungua yule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweli Dr.Mimi sina mengi,ila ninahofu Mwakyembe asije jichapia yule mwandishi. Wewe Catherine kama umempa Mwakyembe pole yako .Kaungua yule.
Kwani hii nchi ina watu wenye akili basi? Siunakumbuka walivyochowta na yule KIGOGO wa twitter haya yuko wapi leo yule mtetezi wao?Mkuu, watu wanataka tufanye mik*ndu ya watu kuwa ndio ajenda ya kitaifa.