Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Hebu mpotezee Mwakyembe jikite kwenye hoja za mwakyembe.
Hatuwezi kumpotezea sababu yeye katoka kwenye hoja na kufanya siasa za ushoga na usagaji kuituhumu serikali yetu na marekani.

Angejikita kwenye hoja tusingekuwa na shida naye.

Ndiyo maana tunamwuliza
1. Kwa nini miaka yote alikaa kimya akiwa ndani ya serikali kama waziri?; iweje leo aibuke kutoa tuhuma za miaka zaidi ya 10 iliyopita eti inajulikana.

2. Kwa nini hajatupa ushahidi wa ushiriki wa serikali kupitia wizara ya afya?
 
Mimi ninasema kuwa MTU YEYOTE anayempinga Dr. Mwakyembe ni SHOGA

Mzee wa watu ameweka wazi kuwa Mashoga wana community na Organizations zao, wana wafadhili na akataja baadhi ya makampuni yanayosupport na kueneza Ushoga

Amesema Mashoga wana Mkurugenzi wao na wanapata support kubwa kutoka Marekani

AMEKOSEA WAPI?

Mara anatafuta kiki, Mara ana njaa na blah blah zingine


Si msubiri atangaze hiyo list ya hao Mashoga na Mkurugenzi wao?

Kwanini Mnaweweseka na Mnamjadili yeye badala ya hoja zake?

Au ninyi Mashoga ndio hamtaki Mkurugenzi wenu atajwe?
Sasa si angemtajaa pale pale, nini maana ya press yake ile? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnachekeshaaaaa
 
Catherine tetesi ana deal na wadada only...Mdee .nk..
Hakuna,yule kwa kwa mdee alienda kumchunguza kama ni msagaji ama ala.Sema ndo hivyo ilibidi afanye practical. Alikuwa kazini Catherine.
 
Ndo Hadi achore tattoo za anao wafanyia practical??
Sasa si unaweka mazingira yule unaemchunguza akuamini. Sema hata kumpa itakuwa alimpa. Ila Mdee atakuwa kachukia sana,maana alijua mapenzi ya kweli.
 
Ushoga ni mbaya na ni chukizo kwa Mungu....

Ila swali, mwanaume akiamua kutoa tako lake, mi nafanyaje?

Niite press? Tako lake, mazara yake, inanihusu nini?
Mara nyingi huwa hatuendi pamoja!

"SHIDA SIYO NANI KAAMUA AZIBULIWE NA NANI KAZIBULIWA WAPI SHIDA NI PALE AMETOKA KUZIBUKA ANAANZA KUAMINISHA SOCIETY KWAMBA KUZIBULIWA NI JAMBO JEMA AS LONG AS KIZIBULIWACHO UNAKIMILIKI MWENYEWE".

Wapo vijana wanatamani kujaribu kila kitu wakiona hivi wanaenda kujaribu wakimwagiwa maji tayari gari linawaka.
 
بسم اللہ الرحمن الرحيم



•••TANABAHI NA HAYA.....
SERIES FROM VOICE OF THE VOICELESS
SHEIKH TAWAKKAL HUSSAYN!

Series No. {141}.

""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""


[emoji91] DR. HARRISON MWAKYEMBE; UMEPAZA SAUTI KUWA UNAZIJUA TAASISI ZINAZOINGIZA WATANZANIA KATIKA USHOGA..... [emoji91]


[emoji673] UKIWA KAMA DAKTARI WA SHERIA; NINI KIFANYIKE? JE ZILISAJILIWA KWA AJILI YA USHOGA? [emoji672]
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°


Mpenzi Msomaji; Awali ya yote, nichukue fursa hii kumpongeza Daktari Harrison Mwakyembe kwa uthubutu wa kupaza sauti hadharani kiasi naona anaandikwa huku na kule kwenye baadhi ya 'forums' kuwa Mwakyembe avunja ukimya, aamua kujilipua..!

Ni kujilipua kwa kweli, inahitaji 'Rijaali' asiyejali kunako haki kusema mambo kama haya ambayo yanahitaji uthubutu hasa!

[emoji3580] Kumbe Dr. Mwakyembe sisi tunaopiga makelele jamaa hawa wanatuchora tu! Wamejipanga vizuri! Wanatusanifu tu kama ile ya watasema mchana usiku watalala!

[emoji3580] Daktari Mwakyembe; ni yepi majibu kwa mdadisi mmoja hivi anayejiuliza; ni nani hasa lakini yupo nyuma ya pazia ya Ufirauni huu? Pesa za kushawishi watu na kuwaingiza katika ubaradhuli huu hawa jamaa wanazipatia wapi? Zinaingiaje hapa nchini? Je hizi sio pesa chafu? Kwa mila, desturi, Sheria zetu....pesa hizi zina tofauti gani na pesa za ugaidi?

[emoji3580] Je tukimjua au tunamjua anayesaidia, anayefadhili uchoko tunaweza kumfungia kweli paka kengele au tutaingia mitini au tutaingia katika hadithi ya paka na samaki ya kuwa paka wanapenda samaki lakini hawapendi kuloanisha kucha zao!

[emoji3580] Mheshimiwa Mwakyembe ukiwa kama daktari wa Sheria unaishauri nini mamlaka inayosajili taasisi juu ya taasisi hizo? Je bado zina sifa kisheria ya kuendelea au zinatakiwa kufutwa mara moja?! Nataraji katika kuendelea kwako kupaza sauti dhidi ya 'Udajjaali huu' tutapata kusikia tena ukipaza sauti Mheshimiwa!

[emoji3580] Ikiwa itajulikana kuwa mfadhili wa shughuli hizi chafu ni bwana mkubwa ambaye anapopiga tu chafya, sisi huku tunaugua kabisa wala hatupatwi na mafua tu hatari yake ni kubwa! Hapa ndipo ninapowaonea sana huruma maraisi walioamua kulaani hadharani na hata kusaini miswada dhidi ya mambo haya ya Sodoma na Gomora.

[emoji3580] Nasema hivi kwa sababu kama vile nahisi mnyama mwenye namba "sittu miatin wasittatun wasittuuna" anakuja vibaya safari hii!
Bila shaka tutapaza sauti hata dhidi ya uzinzi, udada poa; vyote hivi vinamchukiza Allaah ['Azza Wajalla]!


[emoji3580] Huko kwenye 'forums' mbalimbali yameandikwa mengi kufuatia kauli yako Mheshimiwa, mengine yanatafakurisha! Kuna mtu ameandika kuwa kinachofurahisha zaidi kwenye hili sakata la ushoga na mashoga;.
Miaka kadhaa iliyopita hapa mtaani kwetu tulikuwa tunaongopeana kwamba haya mambo ni ya Waarabu na Waislamu.


[emoji3580] Hatimae muda wa kuwajua wenye mali yao umefika sasa, Dunia nzima inafahamu ni baba la mababa na wadogo zake! Ni chuki za Wazungu dhidi ya Waarabu na dini ya Kiislamu!

[emoji3580] Mwingine akasema kuwa kwa sasa wanaojiremba wapo, na wagumu pia wapo. Unaweza mtizama mtu ukasema huyu kidume cha 'miraba saba' kumbe dooh, papai. Huku likikariri neno choko mara kadhaa! Sasa hivi wengi hawajirembi, unakuta mtu ni 'body builder' lakini anapitiwa vile vile!

[emoji3580] Mwingine amenitafakurisha sana. Huyu alisema; 'sometimes' kuna baadhi ya taarifa zinaleakigi kwa manufaa zaidi unaweza kuta 'system' imevujisha makusudi kuliokoa taifa....vitu huwa 'planned' hawakurupuki!

[emoji3580] Mpenzi msomaji; ushoga ni jambo ambalo limelaanika katika Shari'ah ya Allaah ['Azza Wajalla] ndani ya vitabu vyote alivyoteremsha Allaah [Tabaaraka Wata'alaa] iwe ni Zabuur, Taurat, Injili na Qur'aan.

[emoji3580] Yatosha Ushoga kuwa ni dhambi mbaya sana katika mlolongo wa makosa au maasi na dhambi za wanaadam na adhabu walizoadhibiwa katika zama mbalimbali hakuna adhabu mbaya waliyoadhibiwa wanaadam kama Adhabu ya Ushoga ambapo Ardhi ya Mashoga ilimegwa ikageuzwa juu chini halafu ikashindiliwa kwa Mvua ya Moto!

[emoji3580] Hata lugha tu yaani kuendea 'Kinyume na Maumbile', inatosha kuonesha kuwa jambo hili ni baya sana na lina madhara makubwa kimwili na kiroho!
Jambo hili ni moja kati ya sababu kubwa zinazopelekea wanaume kupoteza sifa ya uwanaume na hii maana yake, jambo hili likiachiwa ndoa zitakufa na kizazi kitakoma!
Bali ushoga ni moja katika ya sababu kubwa za kuenea magonjwa kama vile UKIMWI n.k!

[emoji3580] Ni hili jambo la Kinyume na Maumbile ndiyo utasikia lugha ya visaidizi kama wese, futa, kilainishi! Hiyo ni sehemu ya haja kubwa! Haijaumbwa kwa ajili ya hili wala haiwezi kuhimili jambo hili!

[emoji3580] Mpenzi msomaji, kwa sasa ushoga kama uzinzi ulivyoanza kisirisiri na kutoka katika usirisiri unaenda beneti au sanjari na kukaribiana na uzinzi!
Takwimu zinaonesha kuwa Ushoga unaenea haraka sana duniani na kwa kiwango cha kutisha!


[emoji3580] Takwimu zinaonesha kuwa Marekani peke yake kwa sasa ina mashoga wanaokadiriwa kufikia kati ya milioni kumi (10,000,000) hadi milioni kumi na saba (17,000,000), ambapo kuna hadi kuna 'Makanisa na Mahekalu' maalumu kwa ajili ya kuwaozesha mashoga!

[emoji3580] Mji wa Los Angeles peke yake unakadiriwa kuwa na mashoga laki tatu (300,000) na ushee! Kuna idadi kubwa ya mashoga ikihusisha hadi Maaskofu katika miji ya New York, Chicago, London, Paris, Amsterdam na sehemu nyingine nyingi!

[emoji3580] Mpenzi msomaji; hali ya kuenea ushoga ni mbaya, tena mizizi yake ya kihistoria ni mibaya kiasi mwaka 1970 kuna askofu alitunga kitabu akielezea ndanimwe kuwa hata Yesu alikuwa shoga! Ndugu zetu katika damu wala hawakuhamaki sana!

[emoji3580] Sasa hivi hadi kuna Vyuo Vikuu ambavyo vinatoa 'Scholarships' maalumu au za upendeleo kwa mashoga, jambo hili linaenda mbali zaidi hadi katika ahadi za kampeni za uchaguzi kama alivyojikuta Rais Obama wakati ule, ambapo alilazimika kwenda na sera ya kuwatetea mashoga, sio yeye tu bali wako wengi!

[emoji3580] Mpenzi msomaji; kutoka katika mashoga kubananishwa kisirisiri tena kwenye sehemu chafu kama vyooni 'dirty closet Practice' mwanajeshi mmoja wa Kiyahudi katika jeshi la Marekani, aliamua kabisa kuandika bango waziwazi kuwa yeye ni shoga, kazi ilianzia hapo kati ya mwenye kupinga na mwenye kukubaliana na yeye, leo hii mashoga sio watu wa kujificha tena wanahudhuria hadi katika misiba, hapa maeneo ninayoishi walikuja katika msiba na wakakaa na wanawake bila soni wala aibu yoyote!


[emoji3487] Sasa Dr. Mwakyembe ametutajia kuwa jambo hili wenyewe wamejipanga, langu ni kuwa kama tutanyamaza na kuridhia uchafu huu, siku Adhabu ya Allaah ikija itatumaliza sote! Kwa bahati mbaya Adhabu ya Qaumu Luutw imeahidiwa kuwa itawapata watu wowote wanaofanya kama vile hadi 'Siku ya Qiyaamah'! [emoji3485]


[emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597]
[emoji617] NI RUKSA KUSAMBAZA MAKALA HIZI KATIKA MITANDAO MINGINE YA KIJAMII BILA KUBADILISHA CHOCHOTE ILI FAIDA IWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI NAWE UTAPATA MALIPO KUTOKA KWA ALLAAH IN SHAA ALLAAH. [emoji617]
[emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597]

07. RAMADHWAAN. 1444 HIJRIYYAH
29. MARCH. 2023 MIILADIYYAH


[emoji91] [[SHEIKH TAWAKKAL HUSSAYN]] [emoji91]

Kwa maoni, nasaha juu ya masuala mbali mbali ya kidini na maswali mbali mbali, ushauri;
🪀: +255659722396.
[emoji3513]: +255686465552.

Barua pepe; tawakkalhusayn@gmail.com




Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Atusaidie kujua, mfumo wa usalama wa nchi unashindwaje kutambua nia ovu ya hizo taasisi kwa miaka yote hii?

Na kama mfumo wa usalama unajua, kwani haukutupa alert ili kuwalinda vijana wengi wanaojiunga na hizo taasisi?
 
Sasa si unaweka mazingira yule unaemchunguza akuamini. Sema hata kumpa itakuwa alimpa. Ila Mdee atakuwa kachukia sana,maana alijua mapenzi ya kweli.
Kuchunguza alitumwa na nani,??
 
Dr sorry ulimsikiliza yule muandishi vizuri? Alisema ili kuthibitisha alienda kwa Mkemia mkuu kwa ajili ya kuvipima vile vitu walivyokuwa wanagawa ,na mkemia mkuu alithibitisha vinachochea sana mwanamme kuongezeka hormones za kike.

Nikupe mfano ,kuna hormone inaitwa adrenaline hiyo inaongezeka/kuzalishwa zaidi kukiwa na hatari ,napenda kukwambia pia binadamu yeyote ana hormones za kike na za kiume ila mwanammke anakuwa na hormones za kiwango kikubwa za kike na kidogo sana za kiume ,hivyo hivyo kwa mwanamme naye anakuwa na hormones za kiume nyingi kuliko za kike ,kwahiyo hao wafadhili wa ushoga wanatengeneza perfumes/dawa za meno/mafuta ambazo zinachochea uzalishwaji wa hormoes nyingi za kike kwa mwanamme ,hii ni bioloji tu ya form One C.
Ujinga mtupu.

Tangu lini pafyumu ikamfanya mtu kuwa shoga bwana, mnataka kutufanya machizi!

Alaah! jinga kabisa.
 
Ninaunga mkono harakati zote za kupinga ushoga na usagaji iwe kwa unafiki kwa kujipendekeza au kwa ujanja ujanga ,JAMBO BAYA LAZIMA TULIKEMER HONGERA MWAKWEMBE
 
Mara nyingi huwa hatuendi pamoja!

"SHIDA SIYO NANI KAAMUA AZIBULIWE NA NANI KAZIBULIWA WAPI SHIDA NI PALE AMETOKA KUZIBUKA ANAANZA KUAMINISHA SOCIETY KWAMBA KUZIBULIWA NI JAMBO JEMA AS LONG AS KIZIBULIWACHO UNAKIMILIKI MWENYEWE".

Wapo vijana wanatamani kujaribu kila kitu wakiona hivi wanaenda kujaribu wakimwagiwa maji tayari gari linawaka.

Watajua wenyewe
 
Kheee! mapya yanafunguka kumbe mwanahabari na yeye ni blender akaamua kuwasagia kunguni wenzie [emoji28]

BICHWA KOMWEE
Yoda
cocastic

Mkuje mkuje
Hahaa,

Mimi kila siku nasemaga humu, tuweni sana macho na hawa wanaojifanya kupinga ushoga kwa sababu wengi wao ni mashoga sugu!

Wanaugua magonjwa mengi ya kisaikolojia hawa, ndio maana limejichubua na kujichora TATTOOS mwili mzima, LICHAFU SANA.

Huyu mchunguzi uchwara ni msagaji sugu, hapo anajishongondoa tu.
 
Hakuna,yule kwa kwa mdee alienda kumchunguza kama ni msagaji ama ala.Sema ndo hivyo ilibidi afanye practical. Alikuwa kazini Catherine.
Kwa hiyo alimnasa Mdee na akamsaga 😂😂😂🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom