Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Pole sana ndugu mwandishi. ONE MAN DOWN. I REPEAT, ONE MAN DOWN[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mkuu hilo jina ni lako? Linatia mashaka sana.
 
Ni kizazi kipi hicho cha wazungu kitakuja kuchukua ardhi ya Africa ilhali ardhi yao wenye wameacha ijazwe na wageni kwasababu wao hawataki kuzaa?.
Uingereza kwasasa imejazwa na wahindi, waarabu na waafrica.
Ukiingia hospital Uingereza unaweza kaa masaa kadhaa bila kujuliwa hali na doctor mzungu bali wanaijeria, wahindi, waarabu na watu wenye asiri ya China ndiyo utaona wamekuzunguka kwa ajiri ya kukupa matibabu.
So, kwa muktadha huo sioni mzungu akija huku Nkororo kuniondoa kwa nguvu kwenye ardhi yangu.
 
Mkuu, watu wanataka tufanye mik*ndu ya watu kuwa ndio ajenda ya kitaifa.
 
Sasa hayo mambo msiwafundishe watoto wetu. Fanyieni chumbani kwenu.
 
Mwakyembe alikuwa waziri wa sheria na anasema toka 2016 anayajua haya mambo...why hakusema wala kuandaa sheria za kupambana nayo??....yaani akae kimyaa kabisa Kwa miaka 7 aje Leo ?
Kuna kitu bado hakiko sawa...
Shangaa na wee boss, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanasiasa wanataka wananchi tuache kuwa na attention na mambo yanayogusa maendeleo ya nchi tuanze kufatilia mikundu ya watu, kibaya zaidi baadhi ya raia nao wamechotwa na huu upepo.

Hii nchi ngumu sana.
Kwasababu hao wanasiasa wanajua nchi imejaa mambuzi, kazi ni kuwakatia majani, kuwafungia bandani na siku ya sherehe kuwachinja!
 
Mimi ninasema kuwa MTU YEYOTE anayempinga Dr. Mwakyembe ni SHOGA

Mzee wa watu ameweka wazi kuwa Mashoga wana community na Organizations zao, wana wafadhili na akataja baadhi ya makampuni yanayosupport na kueneza Ushoga

Amesema Mashoga wana Mkurugenzi wao na wanapata support kubwa kutoka Marekani

AMEKOSEA WAPI?

Mara anatafuta kiki, Mara ana njaa na blah blah zingine


Si msubiri atangaze hiyo list ya hao Mashoga na Mkurugenzi wao?

Kwanini Mnaweweseka na Mnamjadili yeye badala ya hoja zake?

Au ninyi Mashoga ndio hamtaki Mkurugenzi wenu atajwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…