Ile ilikuwa ni kuwaarlet watanzania, haimaanishi kuwa hatawatajaSasa si angemtajaa pale pale, nini maana ya press yake ile? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnachekeshaaaaa
Mwakyembe mchafu sana, kumbe alishafika hadi UDOM kuwaharibu vijana wa chuo!???Kwani hata huyo mwakyembee?? Alivyowaharibu wanafunzi wa Udom?? Mwingne si yupo UVCCM palee,
Kwan yeye hajui hilo? atulie km hapati bottom kisa uzee wake, akae kwa kutulia tyuuh. Lol
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji23]Aweeee, kumbe ana makando kando yake yake [emoji15]
Kuna mtu kamblackmail nini akaona ajiwahi kujisafisha kabla file halijawekwa mezani [emoji23]
Na kale kamiwani kake unajua kabisa hili bwabwa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan alivokua anaongea, unajua kabisa yeye ni mdau, anajisafisha na hana chembe ya utakatifu. Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiiNa kale kamiwani kake unajua kabisa hili bwabwa!
Hii ya mwakyembe kua kwenye grid ,umeishupalia sana ,karibu mwaka watano Sasa,ikija habari ya mwakyembe,moja kwa moja unaenda kwenye kuungua kwake,ata Kama ni wewe ulimpima ,sio busara,jikite kwenye hoja.gwegwe yenyewe ya siku hizi Kama mafua,uliye mzima unaweza kata Moto ukamuachaMimi sina mengi,ila ninahofu Mwakyembe asije jichapia yule mwandishi. Wewe Catherine kama umempa Mwakyembe pole yako .Kaungua yule.
Dada Catherine amejitahidi sana tena kwa kuonyesha vielelezo, picha za baadhi ya wahusika nk.. Hawa wanaompinga wanashangaza Sana. Watakuwa labda ni wadau wa hizo NGO's au wenye matendo na tabia zinazolalamikiwa.Wanadai mara oooh...Dada wa Watu kajichubua, mara oooh! Uchunguzi wao ni batili.
Mara oooh Waziri Mstaafu Mwakyembe alikuwa wapi kutoa hizi inshu alipokuwa madarakani, kila kitu kina taratibu zake kiuchunguzi na kiushahidi.
Mashoga yamechemka vibaya sana kujibu hoja na kukimbilia kumshambulia yeye binafsi Dr. Mwakyembe na Bi Catherine.
Na kwenye majukwaa vyombo vya ulinzi na usalama vinajinadi ' nchi ipo salama'!Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.
Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote
USSR
----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini
Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana
Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo
Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka
"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi
Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto
Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke
Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi
Chanzo: Jambo TV
Are you selling?Tena mwanachamaa kindaki ndakii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ajabu nyie ndo mmashusha nyuzi mda woteee.
Labda ni issue ya upendo tu, kamtahadharisha mapema asije kunasa.Hii ya mwakyembe kua kwenye grid ,umeishupalia sana ,karibu mwaka watano Sasa,ikija habari ya mwakyembe,moja kwa moja unaenda kwenye kuungua kwake,ata Kama ni wewe ulimpima ,sio busara,jikite kwenye hoja.gwegwe yenyewe ya siku hizi Kama mafua,uliye mzima unaweza kata Moto ukamuacha
Wanasiasa wanataka wananchi tuache kuwa na attention na mambo yanayogusa maendeleo ya nchi tuanze kufatilia mikundu ya watu, kibaya zaidi baadhi ya raia nao wamechotwa na huu upepo.
Hii nchi ngumu sana.
Shoga limeumia [emoji23]Imekuuma?Wenye akili tumejua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mzee km yule wa nn mie Dr jaman?? Au mkewe nae aliondoka kwa ngwengwe?? WoiiiiiiNa wewe unataka ukampe?Angalia usije pigwa short.
Madhara sio yake pekee yake, Kuna kizazi pia kina haribiwaUshoga ni mbaya na ni chukizo kwa Mungu....
Ila swali, mwanaume akiamua kutoa tako lake, mi nafanyaje?
Niite press? Tako lake, mazara yake, inanihusu nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha komesha hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara nyingi huwa hatuendi pamoja!
"SHIDA SIYO NANI KAAMUA AZIBULIWE NA NANI KAZIBULIWA WAPI SHIDA NI PALE AMETOKA KUZIBUKA ANAANZA KUAMINISHA SOCIETY KWAMBA KUZIBULIWA NI JAMBO JEMA AS LONG AS KIZIBULIWACHO UNAKIMILIKI MWENYEWE".
Wapo vijana wanatamani kujaribu kila kitu wakiona hivi wanaenda kujaribu wakimwagiwa maji tayari gari linawaka.
Ooooh bas sawaaa, tusubiri majina ya wahusika.Ile ilikuwa ni kuwaarlet watanzania, haimaanishi kuwa hatawataja
Duuu hatari. Tunakuombea ili uachane na hayo mambo. Hutauona ufalme wa mbinguTena mwanachamaa kindaki ndakii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ajabu nyie ndo mmashusha nyuzi mda woteee.
BuyingAre you selling?