Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Sasa si angemtajaa pale pale, nini maana ya press yake ile? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnachekeshaaaaa
Ile ilikuwa ni kuwaarlet watanzania, haimaanishi kuwa hatawataja
 
Kwani hata huyo mwakyembee?? Alivyowaharibu wanafunzi wa Udom?? Mwingne si yupo UVCCM palee,

Kwan yeye hajui hilo? atulie km hapati bottom kisa uzee wake, akae kwa kutulia tyuuh. Lol
Mwakyembe mchafu sana, kumbe alishafika hadi UDOM kuwaharibu vijana wa chuo!???

Ndio maana anaujua mtandao mzima wa mashoga! Sasa waanze nae, nyambafuuuu!!
 
Aweeee, kumbe ana makando kando yake yake [emoji15]
Kuna mtu kamblackmail nini akaona ajiwahi kujisafisha kabla file halijawekwa mezani [emoji23]
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji23]

Hawa watu wanaojifanyaga kupinga ushoga ni kuwa nao makini sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan alivokua anaongea, unajua kabisa yeye ni mdau, anajisafisha na hana chembe ya utakatifu. Lol.
Na kale kamiwani kake unajua kabisa hili bwabwa!
 
Mimi sina mengi,ila ninahofu Mwakyembe asije jichapia yule mwandishi. Wewe Catherine kama umempa Mwakyembe pole yako .Kaungua yule.
Hii ya mwakyembe kua kwenye grid ,umeishupalia sana ,karibu mwaka watano Sasa,ikija habari ya mwakyembe,moja kwa moja unaenda kwenye kuungua kwake,ata Kama ni wewe ulimpima ,sio busara,jikite kwenye hoja.gwegwe yenyewe ya siku hizi Kama mafua,uliye mzima unaweza kata Moto ukamuacha
 
Wanadai mara oooh...Dada wa Watu kajichubua, mara oooh! Uchunguzi wao ni batili.

Mara oooh Waziri Mstaafu Mwakyembe alikuwa wapi kutoa hizi inshu alipokuwa madarakani, kila kitu kina taratibu zake kiuchunguzi na kiushahidi.

Mashoga yamechemka vibaya sana kujibu hoja na kukimbilia kumshambulia yeye binafsi Dr. Mwakyembe na Bi Catherine.
Dada Catherine amejitahidi sana tena kwa kuonyesha vielelezo, picha za baadhi ya wahusika nk.. Hawa wanaompinga wanashangaza Sana. Watakuwa labda ni wadau wa hizo NGO's au wenye matendo na tabia zinazolalamikiwa.
Kama mtu anaona utafiti una mapungufu, aongezee taarifa ili kuboresha, siyo kumwaga kashfa lukuki zisizo na tija, eti kajichubua
 
Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.

Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote

USSR

----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini

Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana

Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo

Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka

"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi

Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto

Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke


Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi

Chanzo: Jambo TV
Na kwenye majukwaa vyombo vya ulinzi na usalama vinajinadi ' nchi ipo salama'!
 
Hii ya mwakyembe kua kwenye grid ,umeishupalia sana ,karibu mwaka watano Sasa,ikija habari ya mwakyembe,moja kwa moja unaenda kwenye kuungua kwake,ata Kama ni wewe ulimpima ,sio busara,jikite kwenye hoja.gwegwe yenyewe ya siku hizi Kama mafua,uliye mzima unaweza kata Moto ukamuacha
Labda ni issue ya upendo tu, kamtahadharisha mapema asije kunasa.
 
Kuwa na taifa la watu wengi wenye akili ndogo inachosha sana, wako busy na mambo ya ajabu ajabu tu yasiyogusa maisha yao kwa namna yoyote huku wakiacha yale ya msingi.
Inasikitisha sana.
Wanasiasa wanataka wananchi tuache kuwa na attention na mambo yanayogusa maendeleo ya nchi tuanze kufatilia mikundu ya watu, kibaya zaidi baadhi ya raia nao wamechotwa na huu upepo.

Hii nchi ngumu sana.
 
Ushoga ni mbaya na ni chukizo kwa Mungu....

Ila swali, mwanaume akiamua kutoa tako lake, mi nafanyaje?

Niite press? Tako lake, mazara yake, inanihusu nini?
Madhara sio yake pekee yake, Kuna kizazi pia kina haribiwa
 
Mara nyingi huwa hatuendi pamoja!

"SHIDA SIYO NANI KAAMUA AZIBULIWE NA NANI KAZIBULIWA WAPI SHIDA NI PALE AMETOKA KUZIBUKA ANAANZA KUAMINISHA SOCIETY KWAMBA KUZIBULIWA NI JAMBO JEMA AS LONG AS KIZIBULIWACHO UNAKIMILIKI MWENYEWE".

Wapo vijana wanatamani kujaribu kila kitu wakiona hivi wanaenda kujaribu wakimwagiwa maji tayari gari linawaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena mwanachamaa kindaki ndakii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ajabu nyie ndo mmashusha nyuzi mda woteee.
Duuu hatari. Tunakuombea ili uachane na hayo mambo. Hutauona ufalme wa mbingu
 
Back
Top Bottom