Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Labda ni issue ya upendo tu, kamtahadharisha mapema asije kunasa.
Sio upendo huo,angamfata basi private,kwanza hao ni watu wazima,condom wanajua zipo,mafuta yapo,na vipi ikawa wote wapo kwenye grid ya taifa.ebu fikiria upo sehemu una leta kero yenye msaada katika jamii,anatokea mtu anasemaana ukimwi uyo,kitu ambacho sio mjadala muda huo,imagine
 
Hujasoma na kuelewa hoja iliyopo mezani. Soma tena ili ujue context ya andiko.
 
Nani kakulazimisha uwe shoga?
Yaan kuna mtu kakwambia Savimbi njoo tuku^^^, acha masikhara bhana, sidhani kama kuna watu wamefikia huko [emoji2296]

Umeelewa mada au una attack watu? Tatizo lako mtu akipinga Ushoga una muattack!! Rudia kuisoma mada kwanza kisha ndiyo utoe maoni kulingana na mada iliyopo na si personal attack.

Muandishi amekuja na report yake iliyoshiba kama zile za Mohamed Ali(KTN) kama unampinga inabidi wewe uje na zako na si kuleta ujuaji usio na kichwa wala miguu.

Tafuteni kazi nyingine mnafadhiliwa na wazungu mueneze Ushoga wenu hapa TZ mwakyembe ashaanza kuwambua na kumwaga kitumbua chenu mchanga.
 
Ninaunga mkono harakati zote za kupinga ushoga na usagaji iwe kwa unafiki kwa kujipendekeza au kwa ujanja ujanga ,JAMBO BAYA LAZIMA TULIKEMER HONGERA MWAKWEMBE
Hujaelewa context ya andiko hili. Soma tena ndo uje kutoa comment upya.
 
Ujinga mtupu.

Tangu lini pafyumu ikamfanya mtu kuwa shoga bwana, mnataka kutufanya machizi!

Alaah! jinga kabisa.

Huawezi Kuelewa kama haujafika hata form One......Tatizo hamna bando hamsikilizi report ya muandishi ,mnadandio hoja za kwenye meme tu,kaeleza jinsi gani hizo bidhaa alizoleta huyo mzungu(Mme wa Noel) na kuwapa bodaboda zinavyoathiri hormones mpaka mtu anakuja kuwa shoga.
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu hajatoka hadharani kukanusha taarifa iliyotolewa na Waziri wa zamani wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe kuhusu Wizara yake kutoa vibali kwa mashirika yanayoendesha ushonga nchini.

Mwakyembe ametaja majina ya mashirika hayo makubwa ambayo yako maeneo mbalimbali nchini huku akitaja kuwa yako chini ya Wizara ya Afya.

Kwanini Wizara ya Afya iko kimya hadi leo siku ya 3
 
Alichokileta mwandishi ni utopolo mtupu, hakuna repoti yoyote iliyoshiba. Mtaonekana wapuuzi na wajinga sana mkienda mahali pa watu wenye akili halafu na vichwa vinavyofanya kazi vizuri mseme kuna pafyumu/spray inayogeuza watu kuwa mashoga. Mtaonekana kituko kitupu.
 
Hukumwelewa Mwakyembe hata chembe. We ndiyo unaleta mitazamo miepesi.
 

Elimu ELimu ELimu ,hiyo ni bailoji ya form One C mkuu.

Ebu Soma kitabu cha ujasusi cha yericko uone jinsi hizo chemical zinavyotumika na majasusi kuumiza adui.....Perfumes/Mafuta ukitumia baadhi ya content zinaingia mwilini ,kuna baadhi ya content unaweza ukafanya ziboost hormones ya aina fulani na ndiyo maana ukienda hospital kama hormone imbalance wanakupa vidonge koboost hormones na ndivyo hivyo perfumes/mafuta wanaweka chemical ambazo ukipaka au kupuliza zinakuwa observed na kuweza kuleta impact kwenye hormones.

Ukitaka kuamini kwanini ukipuliziwa hewa ya sumu unakufa? Ina maana inaingia mwili na kuathiri ,same as perfumes za ushoga ukipuliza ile hewa inakuwa na chemical za kuboost hormones za kike kwa mwanamme.
 
Wakati unasema watajua wenyewe mdogo'ako au mwanao atakutana na post zao atamani kwenda kujaribu mwisho na wewe unaonekana una ndugu shoga.

Think twice.

Enjoy your evining, kuna vitu vya muhimu sana zaidi ya huu ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…