Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Ushoga ni mbaya na ni chukizo kwa Mungu....

Ila swali, mwanaume akiamua kutoa tako lake, mi nafanyaje?

Niite press? Tako lake, mazara yake, inanihusu nini?
Wangapi walishakupa hadi leo?
 
Hakuna,yule kwa kwa mdee alienda kumchunguza kama ni msagaji ama ala.Sema ndo hivyo ilibidi afanye practical. Alikuwa kazini Catherine.
Kwa hiyo akasagwa mazima na Mdee? Practical gani hiyo sasa?!🤣🤣
 
Shida inayokuja ni kwamba mashoga wapo sehemu zote za idara za serikali hata majeshini wapo yaani kwa kifupi nchi imechafuka na huu uchafu inasikitisha sana unaona soja anarendemka kama binti harafu utasikia choko huyo na wala hafukuzwi kazi badala yake anahamishwa kwenda sehemu kituo kingine baada ya pale kushtukiwa.
 
Basi kama taifa tuna safari refu sanaa kupambana na ushoga...machoko yameanza kujitokeza mapema tu..ni kama imepigwa tear gas kweny shimo la nguruwe mwitu...yametoka kwa speed haswa
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu hajatoka hadharani kukanusha taarifa iliyotolewa na Waziri wa zamani wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe kuhusu Wizara yake kutoa vibali kwa mashirika yanayoendesha ushonga nchini...
Kusema kweli hata Mimi sijamwelewa!! Au kwa sababu ni mwanamke hajui madhara ya ushoga kwa watoto maskini wa kitanzania? Ukimya unamaana nyingi
 
jamani tujadili content aliyotuletea jamvini hayo masuala ya kujichubua ni ya kwake binafsi. Je Ushoga ni hoja kweli ya kujadili kwamba tatizo limekuwa kubwa kiasi hiki ?
 
Basi kama taifa tuna safari refu sanaa kupambana na ushoga...machoko yameanza kujitokeza mapema tu..ni kama imepigwa tear gas kweny shimo la nguruwe mwitu...yametoka kwa speed haswa
ha ha ha, Mkuu kuna siku nilikuwa Tanga hotel moja siwezi kuitaja napata moja baridi moja moto huku napunga upepo baada ya kazi ya kutwa, mida ya saa 1 bend huku ikitumbuiza likaja Shoga eti linakaa na mimi, nikalitimua kwa maneno machafu... aiseee kilichonikuta ni balaaa...

Ilibidi nimwabie dereva tusepe zetu, hao jamaa wana mtandao ni balaa !! Kibaya zaidi nilitoa maneno ya kulikashifu huku nikitegemea ntasaidiwa na wanazengo waliokuwa pale, aiseee sikuamini.
 
Bado hujahitimisha Mkuu. Unakubaliana na ushoga?
 
Bila hawa jamaa Health system ya Tanzania ingekuwa ime collapse. Hawa ndo wanatupa pesa za kununua dawa na vifaa kwa ajili ya hospital zetu nchi nzima.

Marekani na nchi nilizozitaja zikikata Grants, Health system ya Tanzania ita collapse

Okay, bila misaada yao sekta ya afya nchini inge collapse.

Kwa hiyo sasa hivi tunatibiwa bure kwa grants za wahisani ???

Na kama tunatibiwa bure Tanzania tunaumwa only TB, Malaria Ukoma na Ukimwi, na siku wakikata misaada healthcare system ita collapse na tutakufa wote na TB, Malaria, Ukimwi na Ukoma ???
 
Hivi kabisa unamuamini Harison 😂😂.

Makatazo ya jambo huwa hayapewi promo, ukiona jambo linasemwa sana jua wanaolisema sema wanalitaka.

Mwiko huwa hautangazwi
Kwahyo mafisadi na wala rushwa wasisemwe sio.
 
Hongera,umepigilia msumari
 
Dah!..umewaza vizuri mno....hii ni 'spinning' tu kwa ajili ya malengo fulani na Mwakyembe anatumika kufanikisha hiyo 'spinning'...
 
Okay, bila misaada yao sekta ya afya nchini inge collapse.

Kwa hiyo sasa hivi tunatibiwa bure kwa grants za wahisani...
Usichokijua ni kama usiku wa giza.

1. Sekta ya afya 60% ni pesa za Grants ambazo ndo zinatumika kununua dawa na vifaa tiba. Own sources plus Government Grant ni 40% ambayo inatumika ku finance sekta ya afya. Wakiacha kutoa hiyo misaada (Grants) sekta ya afya ina collapse.

2. Dawa unazopewa ukienda hospitali za serikali pamoja na DDH kwa asilimia kubwa zinatokana na mifuko niliyoieleza. User fees, NHIF na Grant kutoka serikali kuu ndo zinachangia hiyo 40%

3. Chanjo zina gharama kubwa sana. Nchi haina uwezo wa kununua chanjo za kutoshereza mahitaji ya nchi.

4. Dawa za TB, Leprosy na HIV zina gharama kubwa sana. Ndiyo maana tunapewa Grants through Global fund na PEPFAR.

Ushauri
Kama jambo hulijui bora ukae kimya na ujifunze kwa wengine kuliko kujifanya unajua kumbe uko mtupu kama uchi wa mbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…