Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Nadhani nyote mmemsikia wakati anatoa report ya wanyeviti wa mashoga wa kanda na taasisi wanazotokea.

Ameongea kwa uchungu sana.

Mungu ambariki.
Wakati ushoga unarindima yeye alikuwa madarakani kindakindaki wakaona wavute hela kuliko kuishauri serikali kutokomeza hilo jambo, saivi makelele haya yatasaidia nini, you cannot cry over the split milk
 
Wadau mliopo Jamvini nawasalimu!!!

Leo katika tafakari yangu Ilinipeleka kwenye swali la mwandishi wa USA Kule Ghana juu ya USHOGA, na jinsi V.P Wa USA alivyo ligongelea kuhusu MSIMAMO wa serikali ya ghana
Juu ya mswaada mpya unahusu USHOGA rais wa Ghana alijikanyaga saana

Sasa je what if the same question likaulizwa kwa Dr.madam Samia unapredict au unahisi unakisia atasema Nini ? Maana mikopo tunachukuwa kwao kwa kigezo Cha Demokrasia, utawala Bora, kuhifadhi na kuheshimu Haki za binadamu. Na matumizi mazuri ya fedha za umma Sasa hapo kwa Haki za bin adamu ndo tatizo maana hata mashoga wamejifichia humo

Sasa huwa tunasikia watu binafsi juu ya misimamo yao kuhusu mashoga Kama Lema alipo ulizwa na Star TV, tundu lissu alipoulozwa na Clouds TV ,Arison Mwakyembe juzi hapa
Sasa MSIMAMO wa serikali juu ya USHOGA na mashoga NI UPI?
Wenzetu Uganda wapo clear na wanatunga Sheria ya kifo kwa mashoga na ushoga nchini kwao Sisi je Kama nchi tuna MSIMAMO gani???
Naomba kuwasilisha
 
Mkuu wa Mkoa wa DAR ES SALAAM nyakati hizo za 2018/2019 Kama sijakosea (am ready to be corrected)
Alikuja na swala Hilo na serikali ilimkana ikasema huo ni MSIMAMO wa Mtu binafsi pasipo kusema MSIMAMO wao nin UPI!!!!!
 
duh! Mwanaume anataka wanaume kuingiliwa na wanaume wenzake!, halafu ni mhadhiri, hii kali
Tabu sana ningeweka details hapa ila naona haitakuwa vyema ila kwa juu juu sana anasumbua vijana wa kozi za sayansi ya viwanda vya nguo/vitambaa
 
Nahisi huyu jamaa anajistukia kwa kum attack personally Allison, na inawezekana akawa mmoja wapo
 
Nani atafunguka leo?
 
 
Jamaa ashakabidhi Jina
tupeni taarifa, ni jina la nani huyo, sasa huyo atakuwa shoga gani mpaka atangazwe wakati wenzake wa ulaya na amerika wanajitangaza hadharani bila woga? Tena wa ulaya na amerika unakuta ni maarufu duniani. Kama vipi mashoga ya tanzania yajitangaze yenyewe tu sio mpaka yatangazwe na akina mwakyembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…