Hawa watakua wanasambaza Dildo[emoji2960] kiufupi NGO's nyingi ni mawakala wa KuzimuMojawapo ya kampuni aliyotolea mfano ni HICAP, inayohudumia wazee, sikuwahi kudhani kama nao ni Washenzi hivi
View attachment 2571880
Sisi tunajadili hoja sio kumjadili mdada hapamdada mwenyewe kajikoboa kama NDULELE View attachment 2571837
Ni msagaji.Tumjengee sanamu huyu dada
Serikali ni watu , mwakiembe akiwemo.Serikali haiwafahamu ila Mwakyembe anawafahamu.....siasa tu hizi.
Wacha tusubiri majibu kutoka kwa taasisi husikaKataja tasisi zote zinazozalisha mashoga na wasagaji na zote zimesajiliwa.
sina utata kiasi cha kutakiwa nifunguke, niko wazi msimamo wangu kuhusu wapenzi wa jinsia mojaNa wewe funguka.
Mwenyewe hata sijijui ni yupi. Kati ya hao unaowataja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cocastic hebu weka wazi, we ni mwanaume au mwanamke, mbona mwandiko unaonekana ni wa kike? Ina maana we ni mwanamke unayeshabikia ushoga. Mara nyingi wanawake wa hivi na wasagaji au makahaba. Wasagaji/makahaba na mashoga lao moja na ndiyo maana unaweza kuwakuta wako pamoja sehemu fulani bila kuleteana tofauti. Sasa wewe cocastic ni shoga kweli au ni msagaji/kahaba?
Ukisoma mwandiko wake anaonekana ni mwanamke, sasa ni mwanamke gani huyu anayeshadidia ushoga kama si msagaji? Tunataka tujue ni shoga au msagaji ili tumkabili hoja zake kutokana na usagaji/ushoga wakeNa wewe funguka.
He! Yule alie kua ana soma zile kampuni na kutoa presentation!!? Eh!Ni msagaji.
Usikute Mwakyembe alilipwa ili afanye promo pamoja na yule dada wa video.Hilo ni tangazo la serikali duniani ushoga upo Tz ,Haris anakuja akazie sio kulazimisha
Natumai atajibu mwenyewe, na wewe funguka jitambulishe.Ukisoma mwandiko wake anaonekana ni mwanamke, sasa ni mwanamke gani huyu anayeshadidia ushoga kama si msagaji? Tunataka tujue ni shoga au msagaji ili tumkabili hoja zake kutokana na usagaji/ushoga wake
Haijalishi status yake tunaangalia hoja tena kama ni insider ndio mzuri ana taarifa za ukweliNi msagaji.
Watanzania kwa Umbea [emoji28]Haijalishi status yake tunaangalia hoja tena kama ni insider ndio mzuri ana taarifa za ukweli
Ila Faiza [emoji23][emoji119]Natumai atajibu mwenyewe, na wewe funguka jitambulishe.
Sio la kuuliza hilo,Usikute Mwakyembe alilipwa ili afanye promo pamoja na yule dada wa video.
Nchi ngumu hii
unataka kusema una jinsia mbili? Hebu niambie we ni shoga au msagaji? Maana unajiamini sana katika kupangua hoja za wapinzani wako, tena ukiwa na furaha huku ukiwachekaMwenyewe hata sijijui ni yupi. Kati ya hao unaowataja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unadadisi sana kuhusu yeye?unataka kusema una jinsia mbili? Hebu niambie we ni shoga au msagaji? Maana unajiamini sana katika kupangua hoja za wapinzani wako, tena ukiwa na furaha huku ukiwacheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa tatizo nn? Kupangua hoja za wengine si kila mtu anaweza, hatufanani mtazamooo.unataka kusema una jinsia mbili? Hebu niambie we ni shoga au msagaji? Maana unajiamini sana katika kupangua hoja za wapinzani wako, tena ukiwa na furaha huku ukiwacheka
Afu sasa mie hata siwatakiiii, tena wengiii mnooo. Wanatuma had vikojoleo vyao.Mbona unadadisi sana kuhusu yeye?
Nyie ndio mnaenda pm kujibebisha bebisha,
Huku nje mkijitia kubweka bweka.
vipi? Mi si mwanachama wa hayo mambo, ni mtoa maoni huru, sina upande ninaofungana nao ila sitapenda kuona utu wa mtu unatwezwa. Na pia sina mafungamano na siasa za upande wowote. Ni mzalando wa nchi hii nisiyekuwa na makandokando, nadhani nimefunguka kama unavyotaka nifunguke, naona kama una wasiwasi/mashaka na mimi, ukweli ndio huo nimekupa. Una cha kuongeza?Natumai atajibu mwenyewe, na wewe funguka jitambulishe.