Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

cocastic hebu weka wazi, we ni mwanaume au mwanamke, mbona mwandiko unaonekana ni wa kike? Ina maana we ni mwanamke unayeshabikia ushoga. Mara nyingi wanawake wa hivi na wasagaji au makahaba. Wasagaji/makahaba na mashoga lao moja na ndiyo maana unaweza kuwakuta wako pamoja sehemu fulani bila kuleteana tofauti. Sasa wewe cocastic ni shoga kweli au ni msagaji/kahaba?
Mwenyewe hata sijijui ni yupi. Kati ya hao unaowataja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wewe funguka.
Ukisoma mwandiko wake anaonekana ni mwanamke, sasa ni mwanamke gani huyu anayeshadidia ushoga kama si msagaji? Tunataka tujue ni shoga au msagaji ili tumkabili hoja zake kutokana na usagaji/ushoga wake
 
Haijalishi status yake tunaangalia hoja tena kama ni insider ndio mzuri ana taarifa za ukweli
Watanzania kwa Umbea [emoji28]
Kwa hiyo sasa hivi mmekua hamjali awe shoga, awe msagaji kikubwa kamwaga umbea mpate cha kusimuliana kwenye magroup ya whatsapp[emoji1787]
 
unataka kusema una jinsia mbili? Hebu niambie we ni shoga au msagaji? Maana unajiamini sana katika kupangua hoja za wapinzani wako, tena ukiwa na furaha huku ukiwacheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa tatizo nn? Kupangua hoja za wengine si kila mtu anaweza, hatufanani mtazamooo.
 
Mbona unadadisi sana kuhusu yeye?
Nyie ndio mnaenda pm kujibebisha bebisha,
Huku nje mkijitia kubweka bweka.
Afu sasa mie hata siwatakiiii, tena wengiii mnooo. Wanatuma had vikojoleo vyao.

Wengine vibamia na vuzi chafuu afu kende zao zimeungua km vitumbua vxa juzi.

Siku nikitibukaaa nawaumbua wotee, JF itatikisika hii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natumai atajibu mwenyewe, na wewe funguka jitambulishe.
vipi? Mi si mwanachama wa hayo mambo, ni mtoa maoni huru, sina upande ninaofungana nao ila sitapenda kuona utu wa mtu unatwezwa. Na pia sina mafungamano na siasa za upande wowote. Ni mzalando wa nchi hii nisiyekuwa na makandokando, nadhani nimefunguka kama unavyotaka nifunguke, naona kama una wasiwasi/mashaka na mimi, ukweli ndio huo nimekupa. Una cha kuongeza?
 
Back
Top Bottom