Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Ila Bichwa Komwe una mijineno,
Nacheka kama chizi hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie PM sijui wanafungajeee.

Yaan unakuta jamaa linapovukaa hapaa, akati ni lizinzii la karnee.

Wanachekeshaaaaaa
Nenda kwenye browser
 
Mwenyewe hata sijijui ni yupi. Kati ya hao unaowataja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo hata mimi umeniacha hoi. Kama ni gay sema tu, kama ni tomboy pia sema tu.

Kwa lolote kati ya hayo, ningependa kuelewa ulipoanzia mambo hayo.

Mfano, umri ulipoanzia na ilikuwakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…