Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Unajadili vipi hoja za mtu aliyechanganyikiwa kwa Kujikoboa JUSO LAKE kama NDULELE?

Huwezi kuwa na akili timamu ukajibandua JUSO LAKO kwa MAKEMIKALI. Halafu kajichora TATTOOS na mamistari ya HINA.

Huyu ni kichaa full blown, bado tu aanze kuokota makopo na makorokocho.
Ila Bichwa Komwe una mijineno,
Nacheka kama chizi hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie PM sijui wanafungajeee.

Yaan unakuta jamaa linapovukaa hapaa, akati ni lizinzii la karnee.

Wanachekeshaaaaaa
Nenda kwenye browser
 
Mwenyewe hata sijijui ni yupi. Kati ya hao unaowataja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo hata mimi umeniacha hoi. Kama ni gay sema tu, kama ni tomboy pia sema tu.

Kwa lolote kati ya hayo, ningependa kuelewa ulipoanzia mambo hayo.

Mfano, umri ulipoanzia na ilikuwakuwaje.
 
Mkisha malizana mniite nikawashikie miguu!
Screenshot_20230331-170947.jpg
 
Back
Top Bottom