Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Ila Bichwa Komwe una mijineno,Unajadili vipi hoja za mtu aliyechanganyikiwa kwa Kujikoboa JUSO LAKE kama NDULELE?
Huwezi kuwa na akili timamu ukajibandua JUSO LAKO kwa MAKEMIKALI. Halafu kajichora TATTOOS na mamistari ya HINA.
Huyu ni kichaa full blown, bado tu aanze kuokota makopo na makorokocho.
Nacheka kama chizi hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]