Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Sexuality ya mtu inachakujivunia? Wewe unajivunia nini kua hetero?
AlhamduliLlah. Najivunia sana, proudly married for over 40 years now.

Unless uwe huna imani ya kuamini Mwenyezi Mungu au uwe na mashaka makubwa na mafundisho yake ndiyo hutojivunia maumbile yako na kazi zake alizozipangia.
 
Hao ni waoga wa maisha.

Dr. Sina sababu ya kukubandika jina na lables nilizokutajia si lazima zitumike bali ni kutaka kufahamu u lesbo wa aina gani.

Umeolewa?
 
AlhamduliLlah. Najivunia sana, proudly married for over 40 years now.

Unless uwe huna imani ya kuamini Mwenyezi Mungu au uwr na mashaka makubwa na mafundisho yake ndiyo hutojivunia maumbile yako na kazi zake alizozipangia.
Kwa hiyo kwako Ndoa ni Mafanikio, kwa hiyo wale wanawake ambao hawajaolewa hawana cha kujivunia maishani mwao [emoji2296]
 
Hao ni waoga wa maisha.

DSina sababu ya kukubandika jina na lables nilizokutajia si lazima zitumike bali ni kutaka kufahamu u lesbo wa aina gani.

Umeolewa?

Kwenye suala la upambanaji wanasema uoga wako ndio umaskini wako, wakati unawaita waoga wenzio wapo nchi za huko duniani wanapiga kazi na kulea familia zao,

Huko kwenye mitandao hawakukwambia kua kuna wengine hawana label?

Kama sijui lipstick sijui goldstar ni upuuzi wa watoto wa siku hizi wanaojipachika majina ili mradi tu
 
Kwa hiyo kwako Ndoa ni Mafanikio, kwa hiyo wale wanawake ambao hawajaolewa hawana cha kujivunia maishani mwao [emoji2296]
Kwa mtazamo wangu, mwanamke kutokuolewa, kwa adilimiankubwa husababishwa na mfumo wa maisha aliojipangia, mara nyingi ule unaoacha maadili kwa ujinga tu.

Kutokuolewa siyo sababu ya kujihusisha na ngono za jinsia moja.
 
Wote hawana lable, bali si mwenyewe unajijuwa una fit wapi katika hizo lable?
 
Alikuepo pia aunt Ally bila shaka shigongo ana majina yao na picha zao
 
Alikuepo pia aunt Ally bila shaka shigongo ana majina yao na picha zao
Wapo wengi tu waliojitokea wazi wazi. haina haja ya kufahamu majina yao. Yatasaidia nini?

Cha muhimu ni je, walijitakia wao au nini kilichowapelekea kuwa hivyo?
. Wengi niliobahatika kuwajuwa wanajutia hali hiyo. Wapo walioweza kuiacha kabisa.
 
Dignity ya binadam yeyote ni "subjective" hususan kwa mila na desturi ulizozikuta ulipokulia na jamii inayokuzunguka.
Kwa sababu ya tofauti ya kimaumbile, kuna swali ningekuuliza ila naona huwezi lijibu kwa ufasaha, pia hata ukilijibu utalijibu kinadharia tu kulingana na point of view!

UNAWEZAJE KURUDISHA UANAUME WAKO!!!? BAADA YA KUATHIRIKA NA USHOGA!!? ( DIGNITY )

Hiyo kitu mamaa hata waje malaika walio jaa huko mbinguni sidhani kama itawezekana ( mbali na dhambi, hii na laana ulio laaniwa na mwenyenzi Mungu mwenyewe ) na hata ukipata nafuu hutokaa uwe sawa milele, kuanzia akilini mwako, mwili wako, hata ubora wa uanaume wenyewe ukianzia organs zenyewe mpaka perfonce

Ila kwa wanawake inawezeka kuacha na kupona kabisa Mungu amewasitiri kwa hilo
 
Hapo hata mimi umeniacha hoi. Kama ni gay sema tu, kama ni tomboy pia sema tu.

Kwa lolote kati ya hayo, ningependa kuelewa ulipoanzia mambo hayo.

Mfano, umri ulipoanzia na ilikuwakuwaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee bibi, hebu kwanzaaa.
 
Sidhani kama taasisi zitakuwa na majibu.

Kuna wakati naifikiria timing ya Mwakyembe nahisi kuwa yeye na yule binti ni walewale. Inabidi wafunguke kiaina kujulisha Watanzania kuwa, mbona wapo wengi sana tena officially kabisa.
Lakini kwann watoe wakati huu report ya CAG ikitokaaa? Watu hawajadili tenaa mambo ya msingi, ni ujinga tyuuh aaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi yote haya tenido umejuajeee?? Mmmmh
 
Anakwambia unajaza fomu inapelekwa Marekani,
Huku Vijana wengi ndoto zao ni kwenda Marekani na Ulaya je hawajashawishika kutaka kufika kwenye hiyo taasisi ambayo hata hawafanyi hayo,

Mwakyembe na yule Dada lao moja kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Faiza anajivunia nini kutombwer?

Anapenda kunyanduliwa huyu bibi acha tu.

Kuna uzi fulani hivi alisema anapenda madushe ya wavulana wa sekondari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapo wengi tu waliojitokea wazi wazi. haina haja ya kufahamu majina yao. Yatasaidia nini?

Cha muhimu ni je, walijitakia wao au nini kilichowapelekea kuwa hivyo?
. Wengi niliobahatika kuwajuwa wanajutia hali hiyo. Wapo walioweza kuiacha kabisa.
Aisee Mungu awatie nguvu inasikitisha mnoo kuna mmoja nilisoma nae chuo huwezi kumzania na alikua na michezo hiyo nimeshangaa 2020 ameoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…