FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
AlhamduliLlah. Najivunia sana, proudly married for over 40 years now.Sexuality ya mtu inachakujivunia? Wewe unajivunia nini kua hetero?
Unless uwe huna imani ya kuamini Mwenyezi Mungu au uwe na mashaka makubwa na mafundisho yake ndiyo hutojivunia maumbile yako na kazi zake alizozipangia.