[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna watu walihemka mpaka kuifikia kuropoka eti mashoga wauwawe, na ukiwabeza wanakujumlisha eti nawe ni shoga kwa nini uwatetee.Nchi hii inavituko, sijui lini nitaanza kutumia akili zetu kuyaendea mambo.
Hii nchi imejaa mamburulazz yanye mihemko.Kuna watu walihemka mpaka kuifikia kuropoka eti mashoga wauwawe, na ukiwabeza wanakujumlisha eti nawe ni shoga kwa nini uwatetee.Nchi hii inavituko, sijui lini nitaanza kutumia akili zetu kuyaendea mambo.
JamviniNmeingia wapi huku tena [emoji15][emoji15]
Taifa lipo kwenye msiba ujue😜
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Taifa lipo kwenye msiba ujue[emoji12]
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Huyo Culture Me si ndo-yule Tomboy aliyempandikiza demu wake mimba tena mada zake ni kusagana na kuwaweka wenzie dildo!!
Mkuu wewe ni shoga
Kwa hii list(kampani yako)ndio wewe ni shoga
Wenzako hawa hapaAnaandika BICHWA KOMWE:-
Hello Wanabodi na 'Great thinkers' (Japo najua wengi wenu humu hamna sifa zozote za kuwa Great thinkers, kwahiyo hichi ni kivumishi tu cha kuwapaka mafuta).
Ni takribani kama miezi miwili nyuma ambapo kulizuka wimbi na vuguvugu la kufokea ushoga, huku baadhi ya mashabiki wenye mihemko wakiandama na maboksi na kuwataka mabeberu waache mara moja kuwafundisha watanganyika ushoga.
Sambamba na hilo, akaibuka mchambuzi mwenye madoido akifafanua namna ambavyo pafyumu za mabeberu zinasababisha na kuambukiza ushoga mwilini.
Akichagizwa na Harrison Mwakyembe, mchambuzi huyo aliyejichubua uso kwa mkorogo, alitoa vielelezo thabiti kwa njia ya video na picha vinavyoonesha jinsi mabeberu wanavyoambukiza ushoga kwa kuunda mashirika ya kishoga ambayo yanafanya kazi nchini.
Kutokana na mihemko ya ushoga kupamba moto, tukaona DPP amehamasika zaidi, na akaona ni vema sasa aanze kuwaingizia watu vidole sehemu za kutolea haja kubwa na kuwapima jinsi atakavyo ili kuzuia ushoga nchini.
Kwa ujasiri huo wa kuwaingizia watu vidole sehemu za vinyesi, DPP alipongezwa sana na kupewa nishai ya kupambana na mabeberu ya kishoga.
Lakini ghafla tukashtukia mihemko ya ushoga imezimika ghafla, huku mashoga wakiendelea kuzagamuana vilivyo. Hata yule dada mchambuzi naye akatokomea mitini.
Kwa hoja hii, sisi watanganyika, tunamtaka Mwakyembe atutajie yale mashirika ya kishoga ili tuendeleze mihemko yetu ya kupambana na mabeberu.
Anaandika BICHWA KOMWE:-

Pole jamani, kwa hiyo na wewe akakuingiza dildo 🥲Huyo Culture Me si ndo-yule Tomboy aliyempandikiza demu wake mimba tena mada zake ni kusagana na kuwaweka wenzie dildo!!