Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Kuna watu walihemka mpaka kuifikia kuropoka eti mashoga wauwawe, na ukiwabeza wanakujumlisha eti nawe ni shoga kwa nini uwatetee.Nchi hii inavituko, sijui lini nitaanza kutumia akili zetu kuyaendea mambo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi ripoti ya CAG imeishia wapi?
 
Kuna watu walihemka mpaka kuifikia kuropoka eti mashoga wauwawe, na ukiwabeza wanakujumlisha eti nawe ni shoga kwa nini uwatetee.Nchi hii inavituko, sijui lini nitaanza kutumia akili zetu kuyaendea mambo.
Hii nchi imejaa mamburulazz yanye mihemko.

Ndio maana wenye mamlaka wanapeta tu, hata wafanye nini wanajua wananchi ni mazoba.

Sasa hivi yako bize yanashabikia yanga na simba. [emoji851]
 
Bado ipo, kuna wengine wamekurupuka kutembelea shule zilizorembwa kwa rangi za upinde wa mvua. Wamesababisha wenye shule kuingia gharama za kununua rangi kufuta upinde. Mbaya zaidi wakukuta kuna decoration za rangi wanataka zifutwe wakidhani ni sawa na za upinde. Yaani kama shule ina rangirangi kama red, blue, black, yellow, white wanataka zifutwe, hizo rangi ziliwekwa kwa lengo la kufundishia watoto types of colours lakini zinahusishwa na ushoga, imekuwa kero sana
 
Anaandika BICHWA KOMWE:-

Hello Wanabodi na 'Great thinkers' (Japo najua wengi wenu humu hamna sifa zozote za kuwa Great thinkers, kwahiyo hichi ni kivumishi tu cha kuwapaka mafuta).

Ni takribani kama miezi miwili nyuma ambapo kulizuka wimbi na vuguvugu la kufokea ushoga, huku baadhi ya mashabiki wenye mihemko wakiandama na maboksi na kuwataka mabeberu waache mara moja kuwafundisha watanganyika ushoga.

Sambamba na hilo, akaibuka mchambuzi mwenye madoido akifafanua namna ambavyo pafyumu za mabeberu zinasababisha na kuambukiza ushoga mwilini.

Akichagizwa na Harrison Mwakyembe, mchambuzi huyo aliyejichubua uso kwa mkorogo, alitoa vielelezo thabiti kwa njia ya video na picha vinavyoonesha jinsi mabeberu wanavyoambukiza ushoga kwa kuunda mashirika ya kishoga ambayo yanafanya kazi nchini.

Kutokana na mihemko ya ushoga kupamba moto, tukaona DPP amehamasika zaidi, na akaona ni vema sasa aanze kuwaingizia watu vidole sehemu za kutolea haja kubwa na kuwapima jinsi atakavyo ili kuzuia ushoga nchini.

Kwa ujasiri huo wa kuwaingizia watu vidole sehemu za vinyesi, DPP alipongezwa sana na kupewa nishai ya kupambana na mabeberu ya kishoga.

Lakini ghafla tukashtukia mihemko ya ushoga imezimika ghafla, huku mashoga wakiendelea kuzagamuana vilivyo. Hata yule dada mchambuzi naye akatokomea mitini.

Kwa hoja hii, sisi watanganyika, tunamtaka Mwakyembe atutajie yale mashirika ya kishoga ili tuendeleze mihemko yetu ya kupambana na mabeberu.
Wenzako hawa hapa
 
Attachments

  • 20230517_081530.jpg
    20230517_081530.jpg
    70.6 KB · Views: 6

Ila Bichwa Komwe ni mkorofiiii huyo Mchambuzi na Mkorogo wake unajuaga kumchambua [emoji23][emoji23]

Ila hata mimi nashangaa hii mihemko imepotelea wapi, maana Watu walikua kama Wanyama wakiwa kwenye heat, kelele, fujo fujo baadae zzzzzz,

Mwakyembe atutajie hayo mashirika [emoji1783]
 
Back
Top Bottom