Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Mbona wameshindwa hata kuongeza mishahara kwa wafanyakazi kwa miaka yote mitano,jk aliwezaje?
Mimi siyo mchumi lakini nahisi hapa unachanganya mambo.uchumi kukua mara 2 kati ya 2015 - 2020 kimahesabu ni sawa na kusema umekua kwa 100%!
twende taratibu na hii hesabu maana mi naona nyota nyota tu hapa.
ili uchumi ukue kwa 100% kwa miaka 5 tafsiri ya haraka ni kwamba wastani wa ukuaji uchumi wetu kwa mwaka ni 20%.
sasa hii takwimu ya waziri Mpango ya uchumi kukua kwa wastani wa 7% kwa mwaka kaitoa wapi?
au tuna serekali 2 tofauti?
weka sawa basi...Mimi siyo mchumi lakini nahisi hapa unachanganya mambo.
Niwe mkweli tu kama kawaida yangu, sina maelezo yoyote mkuu sababu mimi siyo mchumi hapo nimeongea kufuata hisia tu.weka sawa basi...
Ulinganifu huu ungefaa zaidi na kuleta picha sahihi, kama thamani yake kwa US $ ndio ingetumika badala ya TZS ili kutilia maanani thamani halisi ilivyokuwa ikibadilika. Sasa hivi dola moja ni tsh 2360 wakati miaka kumi iliyopita ilikuwa tsh 1500.
Hivi huyu jamaa alisoma shule gani , au huu udaktari wake ni kama ule wa Dr Remmy Ongara , hana hoja kabisa !
Na hata dola yenyewe nayo ime-depreciate.Ulinganifu huu ungefaa zaidi na kuleta picha sahihi, kama thamani yake kwa US $ ndio ingetumika badala ya TZS ili kutilia maanani thamani halisi ilivyokuwa ikibadilika. Sasa hivi dola moja ni tsh 2360 wakati miaka kumi iliyopita ilikuwa tsh 1500.
Sifa yake kuu ni KUSIFU na kuabudu.Hivi huyu jamaa alisoma shule gani , au huu udaktari wake ni kama ule wa Dr Remmy Ongara , hana hoja kabisa !
Matatizo ya kutoshirikisha ubongo wote.Wa nyuma kazi hii na wa mbele kazi ile! Hivi Abass aliyekula "supp" za kutosha sheria anaweza zungumzia "Uchumi" ambao mwenye Phd yake hajafikiria kudanganya licha ya kujikomba komba??? Hapo ndo taaluma zinapogeuka vituko.uchumi kukua mara 2 kati ya 2015 - 2020 kimahesabu ni sawa na kusema umekua kwa 100%!
twende taratibu na hii hesabu maana mi naona nyota nyota tu hapa.
ili uchumi ukue kwa 100% kwa miaka 5 tafsiri ya haraka ni kwamba wastani wa ukuaji uchumi wetu kwa mwaka ni 20%.
sasa hii takwimu ya waziri Mpango ya uchumi kukua kwa wastani wa 7% kwa mwaka kaitoa wapi?
au tuna serekali 2 tofauti?