Huyu mtu anaziamini sana tunguli na mzimu wa jiwe bado hajasoma alama s nyakati anamlisha raisi wa nchi manenoKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abassi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee na siyo pamoja na magazeti.
Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza.
---
Huyu ni kichwa ngumu bado amelala, tunaomba mama yetu umuache huyu mtu aendelee kulala, hakufai.
Amelipuuza agizo lako...anajifanya mjuaji...anakujua sana kuliko unavyojielewa...
Si kuzengua tu, bali na ujeuri wa kutaka ku-undermine authority ya mama Samia kiaina ili Serikali yake ionekane bado inaendelea ku-muzzle vyombo vya habari NCHINI.Mama alisisitiza kuwa wavifungulie ili kuondoa minong'ono kuwa vyombo vya habari vinakandamizwa.
Mimi naona ameamua kwa makusudi kuzingua
Serikali inafanya kazi kwa maandishi lazima atakuwa amepewa maelekezo kuwa ni tv za mitandaoni ndio maana kasema atawajuza kama kuna maelekezo mengine
Kabla ya kuyafungulia unawataarifu wahusika nia yako ili kujua kama wapo tayari, maana ukiyafungulia watalazimika kulipia leseni na kodi nyinginezo, unawataarifu kujua kama wapo tayari au la.Alichokisema rais ndicho hicho. Kila mtu alisikia hivyo. Kwa kuwa kwa kawaida serikali huendeshwa kwa maandishi au nyaraka na kwa sababu rais katika hotuba ile alitaja tu vi online tv vidogo vidogo vilivyokuwa vimefungiwa, Dr Abbas yuko sahihi. Kama rais aliimanisha na magazeti yaliyokuwa yamefungiwa Dr Abbas atapaswa kwanza kumuuliza Katibu Mkuu Kiongozi ili kupata uhakika. Halafu kwani ni magazeti yapi yalifungiwa? Si ni lile la Mbowe (Tanzania Daima), la Kubenea (Mwanahalisi) na lile la Tundu Lissu (jina nimelisahau) tu? Haya hata yakiruhusiwa wamiliki wake hawana uwezo tena wa kifedha kuyaendesha.
Kama kweli huyu Katibu Mkuu katafsiri hotuba ya Mhe. Raisi namna hii nachoweza kusema kwanza ni aibu kwa msomi kama yule kushindwa kujua lengo la maelekezo ya Mhe Rais kuhusu vyombo vya habari. Mhe. Rais hataki kusikia vyombo vya habari vilivyofungiwa, anataka uhuru wa vyombo vya habari Tanzania. Huyu hasitahiri kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa wizara hata kwa dakika moja, ni vema Rais amfukuze kazi mara moja! Nina wasiwasi, inawezekana KM huyu ana matatizo ya usikivu katika masikio yake! Haiwezekani KM akaquestion maagizo ya Rais na bado akabaki katika nafasi yake, HAIWEZEKANI!Kabla ya kuyafungulia unawataarifu wahusika nia yako ili kujua kama wapo tayari, maana ukiyafungulia watalazimika kulipia leseni na kodi nyinginezo, unawataarifu kujua kama wapo tayari au la.
Ila sasa,huyu Abass kwa cheo chake cha Katibu Mkuu wa Wizara ndiye anayehusika na kufunga na kufungulia magazeti? Na usemaji wa Serikali kwa sasa si ni post ya Gerson Msigwa? Sijaelewa huyu daktari ameyasema hayo kwa nafasi ipi inayompa jukwaa la kusema hayo.
Tulia dawa ikuingie mkuu, sukuma gang kwisha habari yake, Mataga mmekuwa watoto yatima baada ya Jiwe kutaka kutawala milele ila Mungu akaingilia kati kuliponya Taifa, pole sana mkuuAlichokisema rais ndicho hicho. Kila mtu alisikia hivyo. Kwa kuwa kwa kawaida serikali huendeshwa kwa maandishi au nyaraka na kwa sababu rais katika hotuba ile alitaja tu vi online tv vidogo vidogo vilivyokuwa vimefungiwa, Dr Abbas yuko sahihi. Kama rais aliimanisha na magazeti yaliyokuwa yamefungiwa Dr Abbas atapaswa kwanza kumuuliza Katibu Mkuu Kiongozi ili kupata uhakika. Halafu kwani ni magazeti yapi yalifungiwa? Si ni lile la Mbowe (Tanzania Daima), la Kubenea (Mwanahalisi) na lile la Tundu Lissu (jina nimelisahau) tu? Haya hata yakiruhusiwa wamiliki wake hawana uwezo tena wa kifedha kuyaendesha.
Sio lazime ateuliwe, anaweza kwenda kujiajiri kama sisi, fambaf sakeNi dharau kwa mama, huyu apelekwe mikoani.Atamzubaisha Sana rais wetu
Boga bichiKwa hiyo magazeti sio vyombo vya habari?
Hili ni ndezi kabisa
Tumia umoja ndugu Mataga, ok let's say uko sahihi, Mkwere alifeli kwenye nini?Bila kuwa ‘mkono wa chuma’ mama yenu hataiweza nchi hii, amuulize mkwere alishindwa wapi adi leo hii tunamwona ‘failure’
Dah!!!, Kweli una hasira.Abas na libichwa lake lile huwa ananiudhi, huyu niwa kuchomoa pale
Sio kila kifo ni amri ya Mwenyezi Mungu,usikariri.Mauti ni amri ya M/Mungu pekee..
Atasaidiwa soonDkt. Abbas angalia VAR isione hayo mabega utarudisha gari shauri yako.
Umeambiwa fungulia tuanze upya wewe unaleta sarakasi.
Ukimpenda mtu kufa naye, wewe unajifanya mpenzi wa Magufuli wakati mwenzio anaoza wewe unapiga domo JF?Mauti ni amri ya M/Mungu pekee..
Mkuu, naona mpaka sasa hujaelewa vizuri modus operandi ya Mh. Rais, anatumia diplomatic language ku drive point home - mama huyu kichwa sana siwakuchukulia poa hata kidogo.Alichokisema rais ndicho hicho. Kila mtu alisikia hivyo. Kwa kuwa kwa kawaida serikali huendeshwa kwa maandishi au nyaraka na kwa sababu rais katika hotuba ile alitaja tu vi online tv vidogo vidogo vilivyokuwa vimefungiwa, Dr Abbas yuko sahihi. Kama rais aliimanisha na magazeti yaliyokuwa yamefungiwa Dr Abbas atapaswa kwanza kumuuliza Katibu Mkuu Kiongozi ili kupata uhakika. Halafu kwani ni magazeti yapi yalifungiwa? Si ni lile la Mbowe (Tanzania Daima), la Kubenea (Mwanahalisi) na lile la Tundu Lissu (jina nimelisahau) tu? Haya hata yakiruhusiwa wamiliki wake hawana uwezo tena wa kifedha kuyaendesha.
Neno Uhuru wa Habari Dr Abbas limemchenga na hawezi kuwa MTU sahihi hapo alipo,anamharibia Mh.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza maagizo yake apendavyo yeye!Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abassi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee na siyo pamoja na magazeti.
Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza.
---
Huyu ni kichwa ngumu bado amelala, tunaomba mama yetu umuache huyu mtu aendelee kulala, hakufai.
Amelipuuza agizo lako...anajifanya mjuaji...anakujua sana kuliko unavyojielewa...