Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #121
Yeye ndiye kasema , sisi tumeyasambaza tuDada yangu wa kajunjumele,punguza uhana harakati,Mambo ya mwinyi hayo ni ya familia yake,wao ndo wana wosia wa mzee wao,pambana na ya kwako
Punguza emotions zako. Unalalamika nini mtu aliyekuwa mwanasiasa kufikiriwa kisiasa? siasa haifi kwenye misiba, Mwinyi atazungumzwa tu popote pale.
By the way, nani aliyekwambia Mzee Mwinyi anasemwa kwa ubaya? hebu wacha hisia zako potofu.
Kama sisi tusiofahamika na yeyote huko nje misiba yetu huwa haikosi maneno, ndio itakuwa msiba wa Mzee Mwinyi - Rais mstaafu?!
Nakwambia tena ondoa emotions zako kwenye hili jambo, wacha bongo za watu zifanye kazi yake.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwa siasa hizi za kulazimisha watu wazike wapi baba zao, hawa wapinzani wataburuzwa sana tu.Dada yangu wa kajunjumele,punguza uhana harakati,Mambo ya mwinyi hayo ni ya familia yake,wao ndo wana wosia wa mzee wao,pambana na ya kwako
Mkuu kuna kosa gani sisi kuripoti alichosema Mtoto wa Marehemu ?Kwa siasa hizi za kulazimisha watu wazike wapi baba zao, hawa wapinzani wataburuzwa sana tu.
Kina Mwinyi wana scandal kibao za kuongelea. Mwinyi baba na mtoto.
They are not scandal free.
Halafu wapinzani wanakwenda kuchagua sehemu ya kuzika kama ndiyo topic yao ya kuishambulia familia ya Mwinyi.
This tells me more about the opposition than about the Mwinyis.
Hakuna kosa nyinyi kuripoti alichosema mtoto wa marehemu.Mkuu kuna kosa gani sisi kuripoti alichosema Mtoto wa Marehemu ?
Bado una Emotion ,Punguza preasureHakuna emotion hapa, ni logic tu.
If anything, wewe unayeleta stories za wosia ambao huwezi kuthibitisha upo ndiye unaleta emotions, huna factual argument, unakataza mtu kuzika baba yake anapotaka, kitu ambacho ni haki yake na familia yake, bila logic.
Sojalalamika mtu aliyekuwa mwanasiasa kusemwa kwa siasa.
Nalalamika mtu yeyote kusemwa kwa uongo.
Mnasema Mwinyi aliacha wosia kuzikwa Mkuranga, nimewataka kutoa ushahidi kwenye hilo mmeshindwa.
Haya mpaka sasa ni maneno ya uzushi tu.
Mnaungaunga vijineno tu, hamna hata aibu.
Nina mashaka na uwezo wako wa kuchanganua mamboWabongo wengi walio watu wa kuunga unga maneno kimajungu niliwauliza huo usia wa Mwinyi aliosema anataka kuzikwa Mkuranga mnaweza kuuthibitisha?
Walishindwa kujibu.
Kujamba unajamba wewe, halafu unamlazimisha Hussein Mwinyi athibitishe hajajamba yeye.Bado una Emotion ,Punguza preasure
Tatizo lako unataka mawazo yako unayowaza ndio yawe mawazo ya wengine
Mara nyingi watu wasiojiamini kama wewe huwa wanakimbilia kulazimisha hoja moja yenye mapungufu na kuacha maana halisi ya mjadala
Hakuna logic unayotoa ,Hata Rais Mwinyi hajathibitisha wosia wa marehemu wala hajautoa kwa public ni maneno tu katamka kuwa baba yake hakusema azikwe Mkuranga,
Unalazimisha watu watoe wosia wakati mtu unayesema amejibu na yeye hajautoa wosia kwenye public
Kuna wakati uwe unaficha ujinga wako kiongozi kwenye mijadala
Kama ni uzushi hakuna wosia mbona unakubaliana na maneno ya Mwinyi bila wosia kuutoa
Yani no lafa kwelikweli uraisi kumnogeaaaHivi Mwinyi hamnazo kiasi hiki?
Wabongo wengi wanapemda majungu hata kwa kuangalia mazungumzo ya hapa JF.Nina mashaka na uwezo wako wa kuchanganua mambo
Yawezekana umesoma vitabu vingi sana mwisho wa siku umechanganyikiwa bila wewe mwenyewe kujifahamu
Kichaa sio lazima aokote makopo,Jaribu kufanya self evaluation kwa kuwauliza watu wanakuonaje ?
Wewe mwenyewe huwezi kujiona "Wabongo wengi wana majungu" sijui kwa utafiti upi kuwa wabongo wana majungu?
Ni kichaa tu ndio anaweza kuona watu wanaohoji wana majungu
Hata kama wana majungu lakini si nchi yao na wanataka kufahamu juu ya gharama alizotumia kiongozi wao kuzikwa toka mkuranga mpaka zanzibar
Mkuu,Ko kote ambako Hayati Mwinyi angezikwa bado ni Tanzania! Zanzibar na Mkuranga ziko ndani ya JMT ingawa Zanzibar ni nchi na Mkuranga iko ndani ya nchi ya Tanganyika!
Mzee Ruksa amemaliza mwendo,Familia yake isibughudhiwe! Kazi iendelee kwa Jina la JMT.
Tanzania ni nchi yetu na tunaipenda sana sanaKujamba unajamba wewe, halafu unamlazimisha Mwinyi athibitishe hajajamba yeye.
Unamlazimisha mtu aweke wosia wa baba yake, kitu ambacho kashakuambia ni private matter ya ndani ya familia yao, hadharani?
Kwa sababu tu wewe umetunga uongo kuhusu huo wosia?
Nakwambia hivi, nyie Watanzania wa hivi hawa watawala watawaburuza sana.
Kwa sababu mnajichanganya sana.
Huku mnataka uhuru, mnataka katiba mpya.
Huku mnashindwa hata kuelewa uhuru ni nini, mnashindwa kuiachia familia ya Mwinyi kumzika mzee wao kwa uhuru.
Hapo ndipo mnawapa hawa watawala msemo kwamba hamuelewi uhuru ni nini.
Kwa mwendo huu, I can guarantee you hiyo katiba mpya mtaisikia redioni tu.
Yani nyie watu msioelewa basic human right of dying and being buried with dignity ndio nyie nyie mnadai katiba mpya pia?
Totally off topic. Nimeku trigger kwa kusema wabongo wanapenda majungu.Tanzania ni nchi yetu na tunaipenda sana sana
Watu tumeishi ulaya lakini nyumbani ni nyumbani tu.Hapa JF kuna watu wengi nimeishi nao ufaransa wao wakiwa watu wazima na bado wapo huko lakini wanakuambia watarudi nyumbani na wataishi hapa Tanzania
Wahindi ni matajiri sana na wana majumba canada lakini wanaipenda Tanzania na tunaishi nao hapa
Hakuna anayeburuzwa Tanzania wala kubaguliwa hapa Tanzania kama nje,Ulaya ndio kuna kuburuzwa vibaya sana ,Kuna sheria kali ambazo ukiweka hapa Tanzania hakuna atakayezifuata kwani zinaondoa uhuru wa watu
Huko ulaya watu wanabaguliwa sana sijawahi kuona kwenye maisha yangu
Mimi niliyeishi ufaransa nikiwa mtoto wa college huwezi nirudisha kuishi ufaransa,Unabaguliwa kuanzia darasani mpaka kwenye kupanga apartment tu ilikuwa shida kisa rangi yangu watu wakiona black sipangishi mpaka nawatumia baadhi wazungu wastaarabu
Marekani kwenyewe ambako nimeenda nikiwa mtu mzima kwenye mambo ya kamati za bunge ni hovyo kabisa,Na ni nchi yenye watu weusi kibao zaidi ya ufaransa lakini unakuta jitu jeusi tii kama mkaa bado linakubagua mtu toka Afrika ambao kwa Tanzania sisi wengi sio weusi sana kama wasudan
Kuna kumbi za muziki wakati huo unafika mlangoni ufaransa ,Unakuta mzungu mlangoni anatukatalia watu black
Upweke uliopo ulaya na hata Marekani ndio maana watu wengi wakirudi wanaonekana kama vichaa kichwani
Bora kuendelea kuburuzwa nyumbani lakini sio kuwa mtumwa kwenye Taifa la watu ambalo hata haki ya kuongoza nakosa
Kama ulienda ulaya ukiwa mtu mzima kutafuta maisha najua utakuwa unayavumilia niliyoyaishi mimi miaka hiyo
Kabila lolote ambalo atakuwa Mwinyi, kama ni Mtanzania, ana haki ya kuzikwa sehemu yoyote ya Tanzania bila kunyanyapaliwa.Swali ni je Mwinyi ni kabila gani?
Unaandika mambo mengi huelewekiTotally off topic. Nimeku trigger kwa kusema wabongo wanapenda majungu.
Na wewe unathibitisha hilo kwa kutoweza kukaa kwenye mada na kuleta majungu.
Mada ni kwamba Mzee Mwinyi aliacha wosia kuwa azikwe Mkuranga, akazikwa Zanzibar kisiasa.
Thibitisha hilo.
Hayo mengine ni maneno off topic, logical non sequitur, arguments from misplaced patriotism, sina hata muda wa ku ya entertain.
Yani wewe uliyelundika mambo kibao off topic ya sijui umekaa Ufaransa na Marekani ndiye wa kunisema mimi naandika mambo mengi sieleweki?Unaandika mambo mengi hueleweki
Jaribu kuandika kwa ufupi
Zanzibar wana katiba yao ambayo haiwatambui watu wa Tanganyika kama ndugu zaoKabila lolote ambalo atakuwa Mwinyi, kama ni Mtanzania, ana haki ya kuzikwa sehemu yoyote ya Tanzania bila kunyanyapaliwa.
Hapa swali la muhimu ni, Mwinyi alikuwa ni raia wa nchi gani?
"Karne hii bado tunaongelea makabila?" - JK Nyerere.